Wanawake tu ingieni hapa

Emma M Bai

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
223
126
Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu .

Wanaume tukae pembeni jaman lazima tuwe na mipaka
Karibu
 
Ok sawa kipi Bora zaid chupi ama tait tuwe wazi kidogo hapa kuiokoa jamii
Maisha yamebadirika. Sikuhizi matako ndio yanafunika chupi sio chupi kufunika matako
[/QUOTE]
 
Kuna wengine ni wake zetu humu, unawaita peke yao ili uwafanyeje
Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu .

Wanaume tukae pembeni jaman lazima tuwe na mipaka
Karibu
 
Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu .

Wanaume tukae pembeni jaman lazima tuwe na mipaka
Karibu
wewe mwenyewe mwanaume alafu unafukuza wanaume wenzako, sasa utawaweza wanawake wooote ww mwenywe ? acha choyo kijana
 
Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu .
Wanaume tukae pembeni jaman lazima tuwe na mipaka
Karibu
kwan alie andika hii thread n me/ke.. .?
 
Uzi umeshaharibika kikao kimefungwa, kajipange upya
Naomba kujua mnapenda nini kutumika chupi ama taiti ok Na kama chupi ni zipi au kama taiti zipi ndefu ama fupi Na Kwa zooote mnapenda material yapi nafatilia koment zenu .

Wanaume tukae pembeni jaman lazima tuwe na mipaka
Karibu
 
Kwani wewe mwenyewe unapenda kuvaa nini?
'Tait' au chupi? na kama 'Tait' ndefu au fupi? na kama ni chupi Thong au G-String?
na kama zote ni material ipi?
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Huu uchunguzi umejikita zaid Kwa wanawake kila mtu akimrushia mpira mwenzake fear
Kwani wewe mwenyewe unapenda kuvaa nini?
'Tait' au chupi? na kama 'Tait' ndefu au fupi? na kama ni chupi Thong au G-String?
na kama zote ni material ipi?
 
Hahahahah!! Hiki kikao kiliharibika baada ya waalikwa kutokuhudhuria, badala yake wasioalikwa ndio wakahudhuria na kuhoji kwanini hawajaalikwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom