Wanawake this is the harsh reality

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,004
173,644
Alot has been said multiple times ila imekuwa ni malumbano yasio na mwisho tu. Nimewaletea clip hii japo iwe funzo na muweze kuelewa kuwa nini hasa tunahitaji katika ndoa ili kujenga familia yenye amani na furaha.

Ni life experience ya ndoa na funzo toka kwa mwanamke ambaye aliolewa akaachika sababu ya kuendekeza upumbavu. Kuna la kujifunza before hamjajigeuza ma superwoman.
 
NONSENSE!
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
 
Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man besides me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.

Mnhh mwenzako anaona jukumu la kuwa na familia yenye peace and harmony ni la MWANAMKE na kukitokea kitu kidogo yeye ndio alaumiwe na kuwa purnished,NO!! ..ni responsibility yetu SOTE ku create a happy home......

Sijui nini kimeku cost (share if you dont mind) mpaka ukaona wa kuheshimiwa ni wanaume,na kwamba ukimtii mwanaume ndio unakuwa na furaha, trust me you have never experience love and to be loved, kama uko real, kutakua na msuguano na partner wako sometimes, nyinyi sio ndugu, mmekutana watu wazima, kuwa na migongano ni kawaida,,,,,na kuwa na migongano haimaanishi wewe una kiburi,

,,haya mama kuwa submissive wife ni chaguo lako,ila ningependa kukukumbusha you also need to be HEARD, SUPPORTED AND CARED FOR... dont die in a relationship that is emotionally draining..i mean ukichukia,chukia na umemuonyeshe mume wako umechukia,kunyamaza ili kuonekana ukiongea ni mwenye kiburi..ni kujitesa kisaikolojia na pia kama umepata mume abuser most wanatafutaga reason yoyote kukupiga hata kama umeongeza chumvi kidogo...
 
I've never been married but Kuna Mambo nlifanya yamenicost Sana. Huku kutaka mashindano,kukosa adabu, kuwa na kiburi, kusema hata Mimi na hela I don't need a man Sio Kweli.

A women needs a man just as much as a man needs a women.

Tuwaheshimu kuwajali na kuwatii wanaume...They are precious to us.I love the feeling of having a supportive and loving man beside me.
Kuwa na heshima na utii kwa mwanaume kutakufanya uishi maisha mazuri na yafuraha... trust me.
😘😘😘😘 haki tena sikutegemea kuona message kama hii kutoka kwako.👌👌

Ukweli utabaki kuwa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume.utandawazi na mkutano wa Beijing umekuja kuondoa adabu na utii kwenye kundi kubwa la wanawake wakiamini kwamba adabu na utii kwa mwanaume ni utumwa.

Jamani wanawake tuwaheshimu wanaume hakuna mbadala.
 
Mnhh mwenzako anaona jukumu la kuwa na familia yenye peace and harmony ni la MWANAMKE na kukitokea kitu kidogo yeye ndio alaumiwe na kuwa punished,NO!! ..ni responsibility yetu SOTE ku create a happy home......

Sijui nini kimeku cost (share if you dont mind) mpaka ukaona wa kuheshimiwa ni wanaume,na kwamba ukimtii mwanaume ndio unakuwa na furaha, trust me you have never experience love and to be loved, kama uko real, kutakua na msuguano na partner wako sometimes, nyinyi sio ndugu, mmekutana watu wazima, kuwa na migongano ni kawaida,,,,,na kuwa na migongano haimaanishi wewe una kiburi,

,,haya mama kuwa submissive wife ni chaguo lako,ila ningependa kukukumbusha you also need to be HEARD, SUPPORTED AND CARED FOR... dont die in a relationship that is emotionally draining..i mean ukichukia,chukia na umemuonyeshe mume wako umechukia,kunyamaza ili kuonekana ukiongea ni mwenye kiburi..ni kujitesa kisaikolojia na pia kama umepata mume abuser most wanatafutaga reason yoyote kukupiga hata kama umeongeza chumvi kidogo...
Kumtii mume haimaanishi Akuwekee kidole jichoni Wewe uchekelee..
Haimaanishi Kwamba hamtakuwa na migongano au majibizano au kutofautiana..
.namna ya kudeal nahizi migongano lazima pia kuwe na heshima.

Mahusiano Ni yawawili wote mnajukumu la kuyajenga na kuyalinda.. Kila mtu aplay part Yake..lakini hapa Mimi namzungumzia mwanamke...

Awe mtiifu na mweny Heshima kwa asilimia kuubwa inajenga uhusiano ulio imara..

Kutakua na exceptions chache ambazo wapo wanao tii na kuheshimu na bado wakawa hawathaminiwi
 
😘😘😘😘 haki tena sikutegemea kuona message kama hii kutoka kwako.👌👌

Ukweli utabaki kuwa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume.teknologia na mkutano wa Beijing umekuja kuondoa adabu na utii kwenye kundi kubwa la wanawake wakiamini kwamba adabu na utii kwa mwanaume ni utumwa.

Jamani wanawake tuwaheshimu wanaume hakuna mbadala.

Tell them.
 
haki tena sikutegemea kuona message kama hii kutoka kwako.

Ukweli utabaki kuwa mwanamke hawezi kuwa sawa na mwanaume.teknologia na mkutano wa Beijing umekuja kuondoa adabu na utii kwenye kundi kubwa la wanawake wakiamini kwamba adabu na utii kwa mwanaume ni utumwa.

Jamani wanawake tuwaheshimu wanaume hakuna mbadala.
Mkuuu..unafikiria kila Sanaa Nawaza kuliwa kimasihara....
 
I can't even waste my time and data to open that video. Men always like women who say things that support their primitive characters. Yani ukiwavumilia / kuwa support automatically you are a good woman. Most women want men's acceptance so bad they tolerate anything!
We ni Msukule wa haki sawa/ joyce kiria
 
Back
Top Bottom