Munguwanguu
Member
- Aug 5, 2015
- 8
- 3
Miconazole pessaries
je ameripoti hospitali?
hapana
nimeona nianzie hapa kupata ushauri kwanza.
Habari wapendwa,
Nina rafiki yangu ambae aliconcive mwezi mmoja uliopita lakini ndani ya siku 5 tangia aconcive aliona damu inatoka kama siku mbili mbele tukaamua twende hospital kwa doctor.
Akatuambia mimba imeharibika na inabidi asafishwe basi akamsafisha na baada ya hapo akampa vidonge vya kumeza ndani ya kama siku 3 akaanza kubleed tena tukarudi kwa doctor.
Akampa dawa aina ya Trinidazole na ciplo ila mpka amemaliza hivo vidonge akaendelea kubleed tukashauriana tuhame hospital huko tukamweleza doctor.
Akatujibu hakusafishwa vizuri hivo inabidi asafishwe tena akamsafishwa na uchafu ukatoka akamwambia achome powerself 4 kila siku moja akachoma ila akaendelea kuona damu japo ni kidogo.
Doctor akamwambia inabidi unywe dawa za kukata damu akampa primoult na kanywa kwa mda wa siku 5 ila alipokuwa anakunywa izo dawa damu ilikata akawa anaona spot ya fluid kama ya grey.
Baada ya kumaliza jana damu imetoka tena kwa wingi kuliko ilivokuwa mwanzo kidogokidogo akampigia doctor kumweleza akamjibu kuwa alikosewa kuatendiwa awali hivo basi hali kama hiyo ataiona mpka pale atakapopata bleed yake ya menstruation.
Je, wapendwa hiyo ni hali kawaida au? Msaada kwenye tuta