Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni- Pata ufafanuzi wa kina, ushauri na tiba ya tatizo hili

fangasi hiyo, haha huyo mdada na hayo mapozi yake unayosema kumbe mchafu! haha! em mwambie awe ana safisha vzr kule chini, mwambie aende kwa daktari au kama unapenda kweli mpeleke ni kitu cha kutibiwa fasta, Asafishe yeye naye aghhh! harufu ikitoka hamu haipotei aisee hadi ukarudia? hahaha
 
Kuna binti mrembo wa haja maringo meeeeeeengi.

Baada ya kumpigia misele sana, alikubali. Siku ya kwenda kula tunda la mti wa kati nilihisi kutapika! Baada ya kuwasha gari kama dakika 5 hivi, ulianza kutoka utando mweupe kama vile mtoto mchange amecheua au matapishi ya kuvimbiwa "maziwa mgando".

Huo uchafu ulikuwa unanuka (harufu mbaya). Yeye alidai kwamba alikuwa hajapata hiyo kitu siku nyingi sana.

Nilipokutana naye baada ya siku kadhaa, hali ya uchafu ni ule ule!

Kuna jamaa wameniambia inawezekana huyo shi anatumia panadol wakati wa siku zake. Nilipomuuliza binti amekataa matumizi ya panadol.

Kwasasa huo uchafu haunuki ila upo!!

Hii kitu inasababishwa na nini?

Usizini!
 
unaufahamu huo unaitwa utakwi yaani utoko sugu.
 
sawa mkuu.and incase u may want ur word to be clickable,there shouldnt be a space btwn a hashtag and a word.nway samahani kwa kuchomekea issue za tech/gadget forum hapa jf doctor. my apology to dr. Mbu and all jf doctors. teh teh teh.

Sawa Moderator, asante na ndio nimeshaanza kujirekebisha sasa na fonts pia nimebadili.

Sitarudia tena.
 
Last edited by a moderator:
Nakushauri nenda kwa daktari mkapime hiyo ni infection na ni aina ya fangas za ukeni mkapime na mtibiwe wote.
 
Aisee...........Mngeenda hospitali pia kujua shida ni nini inawezekana na Infenctions

Ila kama hauna harufu inaweza kuwa normal......nadhani kitu muhim awe anajisafisha vizuri huko chini....

wakisema mwanamke usafi sio kupaka wanja na shedo jamani ni pamoja na kujiswafi maungo yetu.....

ukiwa wajisafisha shurti kidole kiingie mle ndani kwa ufasaha na utaona hata K inatyt kabisa baada ya kujiswafi..

hivyo ee?
 
Kuna binti mrembo wa haja maringo meeeeeeengi.

Baada ya kumpigia misele sana, alikubali. Siku ya kwenda kula tunda la mti wa kati nilihisi kutapika! Baada ya kuwasha gari kama dakika 5 hivi, ulianza kutoka utando mweupe kama vile mtoto mchange amecheua au matapishi ya kuvimbiwa "maziwa mgando".

Huo uchafu ulikuwa unanuka (harufu mbaya). Yeye alidai kwamba alikuwa hajapata hiyo kitu siku nyingi sana.

Nilipokutana naye baada ya siku kadhaa, hali ya uchafu ni ule ule!

Kuna jamaa wameniambia inawezekana huyo shi anatumia panadol wakati wa siku zake. Nilipomuuliza binti amekataa matumizi ya panadol.

Kwasasa huo uchafu haunuki ila upo!!

Hii kitu inasababishwa na nini?
Huyo ni mchafu tu hana ugonjwa wowote hajui tu kujisafisha..utakuta mwanamke mzima ametembea kutwa nzima then anaenda kukutana na mwanaume bila kujisafisha hayo ndio matokeo yake..kwanza awe anapitisha dodoke huko kwenye mashavu yake ndio uchafu unapokaamna atie vidole ndani
 
Unajua watu wengi humu JF mna masihala, hata ww mwenye huu uzi umeuleta kama kumdhalilisha huyo binti. sio vizuri. mwambie aende hospital, ni ugonjwa huo, tena akichelewa ataanza kuwashwa kwa ajabu na uchafu utaanza kutoka mwingi. na si ajabu yale unayoita maringo ilikuwa ni aibu ya huo ugonjwa, alafu ww unakuja kumuanika hivi! lo, binadamu!!!!
 
Kuna msichana rafiki yangu hutokwa na uchafu ukeni kwake bila kujitambua. Uchafu huo hunuka sana, una rangi kama ya kahawa na wakati mwingine unakuwa kama kijani cheusi.

Itakuwa ni tatizo gani hilo?
 
Mshauri aende hospital,kaa nae mshauri hiyo inaweza kuwa magonjwa ya zinaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom