Tatizo la kutokwa na uchafu ukeni- Pata ufafanuzi wa kina, ushauri na tiba ya tatizo hili

Kama unanuka utakuwa sio utoko labda ni fangasi mwambie aende hospital....mwambie pia awe anajiswafi huko chini jamani,hiyo aibu siiwezi...mweeee.
 
Kama unanuka utakuwa sio utoko labda ni fangasi mwambie aende hospital....mwambie pia awe anajiswafi huko chini jamani,hiyo aibu siiwezi...mweeee.

....hivi aliandika Unanuka au Unatoa harufu?
#UchaguziWaManeno kuhusiana na mwenza wako ni kitu
cha kutilia maanani sana wajameni.
 
Kuna binti mrembo wa haja maringo meeeeeeengi.

Baada ya kumpigia misele sana, alikubali. Siku ya kwenda kula tunda la mti wa kati nilihisi kutapika! Baada ya kuwasha gari kama dakika 5 hivi, ulianza kutoka utando mweupe kama vile mtoto mchange amecheua au matapishi ya kuvimbiwa "maziwa mgando".

Huo uchafu ulikuwa unanuka (harufu mbaya). Yeye alidai kwamba alikuwa hajapata hiyo kitu siku nyingi sana.

Nilipokutana naye baada ya siku kadhaa, hali ya uchafu ni ule ule!

Kuna jamaa wameniambia inawezekana huyo shi anatumia panadol wakati wa siku zake. Nilipomuuliza binti amekataa matumizi ya panadol.

Kwasasa huo uchafu haunuki ila upo!!

Hii kitu inasababishwa na nini?
Hukuingia chumvini kweli..???
 
Maziwa mgando a.k.a mtindi


1st time Maziwa Mgando wenye harufu
[hakupiga vigelegele]

2nd time Maziwa Mgando bila harufu
[hakupiga vigelegele]

Kwani #MaziwaMgando yanatoka kabla au wakati wa Tendo?

melted_candle_wax_sq_s.jpg

Case Closed.
 
Hiyo ni fangasi, Candida (candidiasis) akatibiwe mapema asije akaoza!!!
Kuna binti mrembo wa haja maringo meeeeeeengi.

Baada ya kumpigia misele sana, alikubali. Siku ya kwenda kula tunda la mti wa kati nilihisi kutapika! Baada ya kuwasha gari kama dakika 5 hivi, ulianza kutoka utando mweupe kama vile mtoto mchange amecheua au matapishi ya kuvimbiwa "maziwa mgando"...
 
Duuuuh amuone dokta fasta, inaisha hiyo unajua ss wanawake tunapaswa kuwa very makini, hasa ktk vyoo vyetu huku uswazi,ktk bar kwa ujumla pablic toilets ni shida kwa kweli ni rahisi kuzoa maradhi mengi ukilinganisha na wanaume,ila akipata dawa haraka hali hiyo inaisha kabisa
 
....Kipi sasa, maana #Kifo au #Vifo vipo vya aina nyingi, kifo cha
#UtandoMweupe pia ni aina mojawapo ya Kifo.

In-short nataka tu kukwambia Kifo hakikwepeki, lakini aina ya kifo
ni #chaguo lako either kwa Makusudi au Bahati mbaya.

Wewe unajua ni kifo kipi utakufa?
 
Aisee...........Mngeenda hospitali pia kujua shida ni nini inawezekana na Infenctions

Ila kama hauna harufu inaweza kuwa normal......nadhani kitu muhim awe anajisafisha vizuri huko chini....

wakisema mwanamke usafi sio kupaka wanja na shedo jamani ni pamoja na kujiswafi maungo yetu.....

ukiwa wajisafisha shurti kidole kiingie mle ndani kwa ufasaha na utaona hata K inatyt kabisa baada ya kujiswafi..

Kwa mistari mitatu ya mwisho uliomaliza nayo. Alaaa kumbeee!!!
 
Haki, nimechekaaaaaaaaa, mbavu za niumaaa, khaaa kweli hili ni jamvi la SARAKASI.

Yaaaaani baada ya kazi, hua nacheka na JAMII FORUMS!!!!!!!!
 
Haki, nimechekaaaaaaaaa, mbavu za niumaaa, khaaa kweli hili ni jamvi la SARAKASI.

Yaaaaani baada ya kazi, hua nacheka na JAMII FORUMS!!!!!!!!

stress free zone (SFZ).that's jamiiforums.kuna time ninapokuwa nasoma michango mbalimbali huwa nacheka na laptop au simu ya mkononi mpaka "my wife wangu" ananishangaa.kwi kwi kwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom