Wanawake wengi hasa walioolewa wamekosa ubunifu wamebaki na wivu, mnajua tu hamuwezi kazi ndo maana tukichelewa kidogo nyumbani mnanuna wiki nzima, ndoa/mapenzi kisiwe kigezo cha kumfunga mwenzio hata asipite kijiweni au kupata 2,3 na washikaji.
Tata Molembe.
Kaka hapa napingana na wewe mbbona hawa wakitoka njee wanapiga game la ukweli au ni kwa sababu ya kuzoeana..Yaani usiombe kukutana na huyo mke unayesema kuwa hana ubunifu. hata Min Kabang wanatoa japo ndani hawatoi ila wakitoka njee ni noma na wakishatoka nje ujue heshima imeota Fasjet hutaiona usishangae kuambiwa kuwa katika wanaume wewe haumo..Wanawake wengi hasa walioolewa wamekosa ubunifu wamebaki na wivu, mnajua tu hamuwezi kazi ndo maana tukichelewa kidogo nyumbani mnanuna wiki nzima, ndoa/mapenzi kisiwe kigezo cha kumfunga mwenzio hata asipite kijiweni au kupata 2,3 na washikaji.
Tata Molembe.
Umeoa nini? Wakati hujamaliza pirika na washkaji na vijiwe,mnataka muachwe mzurure weee kama mbuzi waliokata kamba?....
Hujui kuwa wivu ni moja ya attributes za mapenzi?
jamani sijasema ni mke wangu.
kama sio mkeo mambo ya nyumba za watu yanakuhusu nini? kwani umeombwa usuluhishi?
taratibu wewe nina panga hapa pembeni.