Wanawake siku hizi hamjui mapenzi mmebakiza wivu.

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,819
11,511
Wanawake wengi hasa walioolewa wamekosa ubunifu wamebaki na wivu, mnajua tu hamuwezi kazi ndo maana tukichelewa kidogo nyumbani mnanuna wiki nzima, ndoa/mapenzi kisiwe kigezo cha kumfunga mwenzio hata asipite kijiweni au kupata 2,3 na washikaji.
Tata Molembe.
 
Last edited by a moderator:
abilia chunga mzigo wako..xaxa wewe ushasema cjui mapenz unafikil ukiniacha nitaolewa na nan???bola tubanane hapohapo hadi unifundishe na nikiyajua sasa..............
 
Wanawake wengi hasa walioolewa wamekosa ubunifu wamebaki na wivu, mnajua tu hamuwezi kazi ndo maana tukichelewa kidogo nyumbani mnanuna wiki nzima, ndoa/mapenzi kisiwe kigezo cha kumfunga mwenzio hata asipite kijiweni au kupata 2,3 na washikaji.
Tata Molembe.

Ministry of Home Affair
 
Kaka hapa napingana na wewe mbbona hawa wakitoka njee wanapiga game la ukweli au ni kwa sababu ya kuzoeana..Yaani usiombe kukutana na huyo mke unayesema kuwa hana ubunifu. hata Min Kabang wanatoa japo ndani hawatoi ila wakitoka njee ni noma na wakishatoka nje ujue heshima imeota Fasjet hutaiona usishangae kuambiwa kuwa katika wanaume wewe haumo..
 
Wanawake wengi hasa walioolewa wamekosa ubunifu wamebaki na wivu, mnajua tu hamuwezi kazi ndo maana tukichelewa kidogo nyumbani mnanuna wiki nzima, ndoa/mapenzi kisiwe kigezo cha kumfunga mwenzio hata asipite kijiweni au kupata 2,3 na washikaji.
Tata Molembe.

Mkuu mambo ya ku generalise si sawa.

Kama mkeo ana tabia fulani haina maana kwamba wengine wote wako hivyo. Kwani umefanya utafiti kwa wanawake wangapi?!

Wakati mwingine ujue wewe unaweza changia mwenendo mzima wa mke wako.
 
Last edited by a moderator:
aaaaa,,,, kumbe! sasa kuanzia leo, sikusemi tena! dawa yako tutakuwa tunapishana mlangoni! teh teh...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom