Tint Alexandre Arnold
Senior Member
- Feb 28, 2019
- 123
- 148
Jinsi mnavyotumiwa meseji na mwanaume kwenye mitandao usijione mzuri sana, maana mkiona mwanaume zaidi ya mmoja wanakutumia meseji basi unajiona bonge la demu kumbe wap kawaida tuu, basi hata kujibu tu poa inawashinda?
Leo nimemtext dem 'mambo' kuangalia vizuri kumbe kuna 'mambo' nyingine nilimtumia 2012 na haikujibiwa duh!
Leo nimemtext dem 'mambo' kuangalia vizuri kumbe kuna 'mambo' nyingine nilimtumia 2012 na haikujibiwa duh!