Wanawake njooni bedroom fungukeni, tujue mnataka mfanyiwe nini, semeniii yote hapa

But AshaDii, Genuinely ur not short of luv expression, just hint, tujuze shostito, i know u know wat u luv ufanyiwe, kumbe ww wa AIBU HIVI JAMANI TUSAIDIE, sema mamaq Aibuu nyingi aduii chumbani....

In courtesy ya energy kubwa umetumia kupiga mbiu, naomba tu niongee the following...

IMO Sex is "art" an art ambayo hubadilika from one to another or from time to time... Waweza kua na Sex partner anakufikisha ile mbaya - yaani HAKUNA mfano! Lakini kumbe huyo ukamuona ni the best for the simple reason kua ulowahi kua nao huko nyuma walikua ni wachovu katika hilo tendo... Hivo ukamkuta huyu ulonae si mvivu na kukufikisha pia.... HOWEVER hapo hapo waweza pata mwingine, labda kwa kutoka nje ya penzi lenu AMA tu mmeachana na wa siku zooote. Ukamakuta lahaula.... Jamaa ni hodari, sio tu sio mvivu but mtu wa kujituma ile mbaya na mtundu kupita maelezo... Ukashangaa hata ni kwa ni vipi ulikua unaridhika na alokuwehua mara ya mwisho....

Hivo basi naomba nikuambie kua mimi ninavoelewa kuna kitu pia cha ziada katka Sex ambacho ni cha muhimu saana kwa wale wanatofanya hilo tendo... "COMPATIBILITY" Waweza kua ni mbovu kwa huyu But mkaree kwa yule... Pamoja na kusema ni muhimu kujua mpenzi wako nini hasa anataka ni vizuri pia kumsoma kwa kutumia vitu kama expression ya macho ya mwenza wako, sauti, kuhema, (hivi vitu hutoa mwongozo for IMO, nahisi mtu apende asipende kama yupo pleasured results ni evident).

President vile nataka nifanyiwe 6/6 Mpenzi wangu anajua fika, na mengi kabuni mwenyewe kua AshaDii nimfanye nini afurahi zaidi.... Sasa basi kutoa huo ujuzi hapa nimeona haina tija.... Hopefully Umeridhika....
 
Huyo anipae raha ndie ufungukaji wangu unmhusu..

Byeeee, mfungulieni mlangoo aondoke, sitaki league, basi kushiriki ni hiari, free soul women only, ur deleted....
 
Mr. President,
Hauogopi kufilisiwa na hawa wanawake????!!!!!.................nakumbuka ile thread yako ya juzi.......................

Nimetumwa na wanaume wenzangu wapate majibu ndio nikawaita faragha, sio wangu, mm mjumbe... wa mke mmoja... nakuhitaji mchango wake plse
 
In courtesy ya energy kubwa umetumia kupiga mbiu, naomba tu niongee the following...

IMO Sex is "art" an art ambayo hubadilika from one to another or from time to time... Waweza kua na Sex partner anakufikisha ile mbaya - yaani HAKUNA mfano! Lakini kumbe huyo ukamuona ni the best for the simple reason

kua ulowahi kua nao huko nyuma walikua ni wachovu katika hilo tendo... Hivo ukamkuta huyu ulonae si mvivu na kukufikisha pia.... HOWEVER hapo hapo waweza pata mwingine, labda kwa kutoka nje ya penzi lenu AMA tu mmeachana na wa siku zooote. Ukamakuta lahaula.... Jamaa ni hodari, sio tu sio mvivu but mtu wa kujituma ile mbaya na mtundu kupita maelezo... Ukashangaa hata ni
kwa ni vipi ulikua unaridhika na alokuwehua mara ya mwisho....

Hivo basi naomba nikuambie kua mimi ninavoelewa kuna kitu pia cha ziada katka Sex ambacho ni cha muhimu saana kwa wale wanatofanya hilo tendo... "COMPATIBILITY" Waweza kua ni mbovu kwa huyu But mkaree kwa yule...

Pamoja na kusema ni muhimu kujua mpenzi wako nini hasa anataka ni vizuri pia kumsoma kwa kutumia vitu kama expression ya macho ya mwenza wako, sauti, kuhema, (hivi vitu hutoa mwongozo for IMO, nahisi mtu apende asipende kama yupo pleasured results ni evident).

President vile nataka nifanyiwe 6/6 Mpenzi wangu anajua
fika, na mengi kabuni mwenyewe kua AshaDii nimfanye nini afurahi zaidi.... Sasa basi kutoa huo ujuzi hapa nimeona haina tija.... Hopefully Umeridhika....

Ooohh...!! Ma Godness, Jesus, excellent...!!! ur such an increadible woman, intelligent, brilliant, genius, educated, modern one, speaking ur mind openly, freely, satisfactorily, if it was interview get this 101% plus bonus, aisee AshaDii seriously u hit my mind, tiiiiit....!!! Mmmhhh... nakuogopa kwa heshima na busara zako, ur a woman i am talking about, seee u bana.... Hata naweza ishia hapa tukafunga kikao, satisfied, SITEGEMEI MWANAMKE YEYOTE ATAKAYE SEMA HIVI HAPA, with all ma IQ & EQ, AshaDii
hongera hongeraaa
 
Wanaume haturuhusiwi kuchangia??

Ww ni mmoja wapo walionituma tuwajue hawa wenzetu, so angalia mechi, have sOda baridi na popcorn, uwajue hawa wapendwa, kila kitu leo kitasemwa muzeee...
 
Ooohh...!! Ma Godness, Jesus, excellent...!!! ur such an increadible woman, intelligent, brilliant, genius, educated, modern one, speaking ur mind openly, freely, satisfactorily, if it was interview get this 101% plus bonus, aisee AshaDii seriously u hit my mind, tiiiiit....!!! Mmmhhh... nakuogopa kwa heshima na busara zako, ur a woman i am talking about, seee u bana.... Hata naweza ishia hapa tukafunga kikao, satisfied, SITEGEMEI MWANAMKE YEYOTE ATAKAYE SEMA HIVI HAPA, with all ma IQ & EQ, AshaDii
hongera hongeraaa

President i am humbled... BUT tatizo umesifia mpaka umeharibu hapo mwishoni.... Kila Mwanamke anasifa zake... naweza nikawa nimeongea hayo out of knowledge but nisiwe a perfect fit 6/6 kwa upande wako... Hivo basi hio kauli Presidaa hujatenda haki.... Be good.
 
Mkuu przda labda wa kuPM maana naona kama wajiminya midomo na vidole!

Umeonaeee wengine wanaangalia chini, wanaona aibuuuu, mioyo yao ipo mbaliiiiii, but though i will get physical fatigue i won't get spiritual fatigue ngoja ni press hard, harder but softly,they will speak their mind, ngoja niwaagizie ice cream ya kulamba, leo watasema, nataka wanaume wenzangu wale mzigo si kwa kubahatisha, wako wenye mioyo migumuu hadi aseme ujue jasho litantokaa, anyway nakomaa softly naooo, with attractive, seductive man voiceeeee....
 
President i am humbled... BUT tatizo umesifia mpaka umeharibu hapo mwishoni.... Kila Mwanamke anasifa zake... naweza nikawa nimeongea hayo out of knowledge but nisiwe a perfect fit 6/6 kwa upande wako... Hivo basi hio kauli Presidaa hujatenda haki.... Be good.

Sikusifiii, pale a woman anapokuwa like you mentally u deserve all CREDITS, ww Mkareeeee, i salute you AshaDii openly wenye wivu shauri yao, waje hapa wengine wafunguke, nimetenda haki AshaDiii, ur best, wallaahii....
 
Mimi hujanitaja sisemi ng'o!

Jamaniii Husniyo, nimeku add, look now new lists, tupe manjonjo mamito, watakaje, ufanywaje, ulishwaje, utashikwaje, unyweshaje, ubebwaje, upelekwaje, utomashwaje, uogeshwaje, ukulwaje, ufikishwaje, unenepeshwaje kimapenzi, nipo hapa leo NIMETUMWAAAAA.... hawa wanaume wenzangu hawakubahatisha kunichague, hapa leo ni leo, speak ur mind Husniyoooo.....
 
Ooohh...!! Ma Godness, Jesus, excellent...!!! ur such an increadible woman, intelligent, brilliant, genius, educated, modern one, speaking ur mind openly, freely, satisfactorily, if it was interview get this 101% plus bonus, aisee AshaDii seriously u hit my mind, tiiiiit....!!! Mmmhhh... nakuogopa kwa heshima na busara zako, ur a woman i am talking about, seee u bana.... Hata naweza ishia hapa tukafunga kikao, satisfied, SITEGEMEI MWANAMKE YEYOTE ATAKAYE SEMA HIVI HAPA, with all ma IQ & EQ, AshaDii
hongera hongeraaa

Acha unafiki wewe!! On a serious note, is that what u wanted to be told directly?? Why crashing others with the same answer?? Despite all the explanations, u wanted to know the things anataka afanyiwe to reach the point! Does her answer to this guestion differ from that of the previous member?? Can't be her, but nafikiri hizo appreciations zako kwake utakuwa umemkwaza kwa vyovyote vile!!
 
Acha unafiki wewe!! On a serious note, is that what u wanted to be told directly?? Why crashing others with the same answer?? Despite all the explanations, u wanted to know the things anataka afanyiwe to reach the point! Does her answer to this guestion differ from that of the previous member?? Can't be her, but nafikiri hizo appreciations zako kwake utakuwa umemkwaza
kwa vyovyote vile!!

I don't possess hypocrisy either, i accredited her fairly, openly, highly, after scanning & screening her words how she is connected to her mind, nimesema SHE IS THE BEST, MBONA WW INAKUUMA, umetokea wapi... Just
drop us what the topic is all about, u went in the bush.... sisi tupo chumbani, i don't like nono nini nana nani nunu nunu nene nene with u, huna la kusema keep watching.....or....shindwaa na uondokeee chumbani...
 
Khabari ndo hiyo!! Iniume, iniume nini sasa?? If that is the way you accredit people basi next time think twice!! Umemsoma lakini alivokuquote hapo au unajifanya kuziua?? I wonder, that weak reason of yours!! Nimeuliza na vilevile nimesema nilichokiona cha ajabu unaniletea hizo bwelele bwelele zako, try to be reasonable na sio kutoa visingizio!!
 
looh umetumwa kumbee basi mi namtaka aliyekutuma ndo nimwambie vizuri
 
Back
Top Bottom