Wanawake njoeni hapa mje kutoa ushuhuda

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Hivi inakuwaje ukiwa unamtongoza Demu na akiona upo serious sana anaanza kuringa Mara hajibu sms Mara hapokei Simu lakini ukiamua kumpotezea anaanza kujirudi kwa heshima tena na 18 anaachia!
Mbona nyie viumbe hamueleweki
 
Kama jinsia yako haieleweki pita kushoto
Wewe unauza simu na hujui lugha vizuri, tena simu zenyewe used sasa hapo wanawake wata shuhudia nini? Hujui kutofautisha kati ya kushuhudia na kukiri?

Ngoja nikufundishe kidogo maana kiswahili ni lugha yetu
 
Anaweza kukusumbua mwanzo,ila akiingia kwenye uhusiano utatamani umuache kwa sababu anakaba kona zote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom