Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Wana JF.
Utafiti nchini Tanzania unaonyesha wanawake ni wengi kuliko wanaume inafikia mwanaume mmoja wanawake watano hapo ndio kunakuwa na uiano.
Ikiwa mwanaume mmoja anatakiwa kuwa na mwanamke mmoja hawa wanawake wengine ambao ni wengi watapata wapi wapenzi sababu wanaume wote wana wapenzi tayari.
Wanaume na wanawake ebu tupeni michango yenu kwenye suala ili.