Wanawake ni wengi kuliko wanaume sasa itakuwaje kuwa na mpenzi mmoja?

inawezekana watafiti wamekosea......

Walipaswa kusema idadi ya wanawake kubwa kuliko idadi wanaume waliokomaa na kujitambua
 
AMANI KWENU WADAU JAPO TUKO WAKATI MGUMU WA TAIFA

MADA HII
UMEKUWEPO UVUMI NA MADAI MENGI KUWA WANAWAKE NI WENGI ZAIDI YA WANAUME LAKINI UKWELI ULIDHIBITISHWA NA VIWANGO VYA KIMATAIFA UNATAMBUA KUWA IDADI YA WANAWAKE NI CHACHE SANA UKILINGANISHA WANAUME IN RATIO YA 2017 MEN:WOMEN==== 102:100 YAANI WANAUME 102 WANAWEZA KUOA WANAWAKE 100 IKIMAANISHA KUWA WANAUME WAWILI WATAKOSA WANAWAKE FUNGUA LINK HII KWA MAELEZO ZAIDI
Human sex ratio - Wikipedia NAWASILISHA TUJADILIANE UKWELI JUU YA HILI MAANA KUMEKUWA NA MADAI KUWA WANAWAKE NI WENGI ZAIDI YA WANAUME UPI UKWELI
 
Back
Top Bottom