Wanawake ni viumbe wa ajabu.

Hahahaha nilitaka niteme povu lakini umeniwahi

Hivi unakumbuka Adamu alichoambiwa na Mungu siku ile bustanini......ishini nao kwa akili maana yake ni hivi akili zetu zina nguvu kuliko zenu tumieni akili la sivyo hamtatuweza katu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kitu km hicho, nyie mnaendeshwa na tamaa na hisia ndo maana n wepesi kubadilika na kubadilishwa... Mtu ambaye unatakiwa uishi naye kwa akili n km mtoto yan anahita kuongozwa ...

From profile picture to proper future
 
Hahahaha nilitaka niteme povu lakini umeniwahi

Hivi unakumbuka Adamu alichoambiwa na Mungu siku ile bustanini......ishini nao kwa akili maana yake ni hivi akili zetu zina nguvu kuliko zenu tumieni akili la sivyo hamtatuweza katu

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE 100%njoo nikununue soda na juice au maji ya kushushia
 
Wana sifa nyingi ila bado ni viumbe dhaifu,

a tree is known by its fruit
 
Hawaeleweki akiinama INAKUJA NYUMA ,akisimama INAKUWA CHINI ,akilala chali INAKUWA MBELE, akilala ubavu INAKUWA PEMBENI , akilalala kifudifudi INAKUJA NYUMA TENA , akichuchuma inaibukia KIMSHAZARI KWA MBELE basis tafarani
Hahaaaa, maaamae walahi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom