KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,578
- 8,600
Jamaa mmoja alikua anakata roho na mkewe alikua karibu nae akimuaga huku akitapatapa kwa maumivu, jamaa kuona haponi tena akamwambia mkewe. "mke wangu naomba unisamehe kuna kosa kubwa nimekufanyia, nilitembea na dada yako, mdogo wako, rafiki yako na mama yako!!" *Mkewe nae akamnong'oneza "nafahamu yote hayo ndio Maana nikakupa SUMU.!!