Wanawake ni majasiri

ndo maana mnaonekana wanaume wa shoka huko sababu ya ujasiri wetu embu fikiri tungekuwa legelege mngekuwaje
 
Pita pita mitaani, katoto kana miaka 16 kanatembea na bonge la mbaba, saizi kama ya babu yake
 
Hivi wewe unaakili kweli yaani hawafikirii mbele unamaanisha nini??? Wanaume ndo wanafikiria mbele huna lolote kwenda kule. Kazi umariooo ndo uko mbele wewe usijerudia tena

Yani nimetafakari alichokisema nikashindwa kuelewa!tumsamehe bure kuna watu wengine wanadharau sana wanawake cjui huyo mke wake kama anae au atakuwa nae itakuwaje!
 
Hivi wewe unaakili kweli yaani hawafikirii mbele unamaanisha nini??? Wanaume ndo wanafikiria mbele huna lolote kwenda kule. Kazi umariooo ndo uko mbele
wewe usijerudia tena
Mama, komenti kama hiyo ya huyo kiumbe haikufanyi umonee hata huruma?
Naona yeye ndo kashindwa kabisa hata kufikiri. Huyo mwanamke anakuwa kaenda na nani huko kwa hiyo one night stand? Huyo mwanaume anakuwa anamfahamu huyo mwananmke? Nani anafikiria mbele sasa hapo?
 
Unakutana nae kwenye gari, hamfahamiani, unaenda kupiga one night stand.
Hajui una kifaa cha uzito gani, kama ni tubelight au sigara.
hata kama una tube light wala hakimbiii, atagugumia maumivu mpaka umalize haja zako.
Hata kama una kitu kama kipisi cha sigara, utamchovya hivyohivyo.
Kweli wanawake hawaogopi kitu

aisee nimejaribu kutafakari, ni kweli wanawake ni noma.atagugumia kwa maumivu halafu sio ndo itakua mwisho, utashangaa siku chache baadae anagugumia maumivu kwa mwanaume mwingine mwenye kitu kama goti la mtoto mdogo
 
Yaani wewe umeniudhi sana leo kama ulikuwa hujijui wewe ndo hufikirii mbele maana huoni hata haya kusema maneno ya kipuuzi kama mbele za watu. Nakuone huruma sana kijana

Achana na kateeneger,kasituaribie mudi bure,twen zetu kuleeeeeeeeeeeeeee
 
hawa videbwedo sijui wakoje ivi wangekuwa wamesimama kama tungekuwa hatufikiri mbele

Hivi wewe unaakili kweli yaani hawafikirii mbele unamaanisha nini??? Wanaume ndo wanafikiria mbele huna lolote kwenda kule. Kazi umariooo ndo uko mbele wewe usijerudia tena
 
kwani nyie wanaume mna ujanja gani!mbn hamuogopi kwenda nao huko,hujui kama ana handaki utazama au la!hamna ujanja wowote mgekuwa wajanja mgeziba shimo mbona mnatumia na kuliacha wazi?si uzibe mwengine asije kulitumia pia?

Ha..ha..ha..ha
lingezibwa tungepatikanaje
Ee mungu tusaidie sisi eaja wako
 
Unakutana nae kwenye gari, hamfahamiani, unaenda kupiga one night stand.
Hajui una kifaa cha uzito gani, kama ni tubelight au sigara.
hata kama una tube light wala hakimbiii, atagugumia maumivu mpaka umalize haja zako.
Hata kama una kitu kama kipisi cha sigara, utamchovya hivyohivyo.
Kweli wanawake hawaogopi kitu
Nafikiri kama kukiwa na mtaala wa kufundisha ngono mashuleni, basi hii itatufanya na sisi watanzania kujulikana kote duniani, maana tunatisha, hata watoto siku hizi hawataki kuitwa watoto, eti kipimo cha ukubwa ni uwezo wa mambo fulani kitandani.
 
Pearl, umenifanya nicheke aisee duh! Hizi lawama za upande mmoja wakati mchezo tunafanya wawili haziniingii akilini.
Kama ni ujasiri basi tunao wote, kama ni uonga likewise.
Wakaka vipi mbona hapa mnawagaia wadada credo ki reeeree sana?


Nightangale, heshima yako bibie nilikuwa mbado kujua kama wewe nawe ni mwanamke......usijali, baadhi yetu ndo hivyo tulivyo, stara imetupita mbali kweli..take it easy
 
Back
Top Bottom