Wanawake ni majasiri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake ni majasiri

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bujibuji, Dec 10, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  Unakutana nae kwenye gari, hamfahamiani, unaenda kupiga one night stand.
  Hajui una kifaa cha uzito gani, kama ni tubelight au sigara.
  hata kama una tube light wala hakimbiii, atagugumia maumivu mpaka umalize haja zako.
  Hata kama una kitu kama kipisi cha sigara, utamchovya hivyohivyo.
  Kweli wanawake hawaogopi kitu
   
 2. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #2
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Muulize Eva, Mke wa Lutu, Delila na wengine wengitu.
  Hawakawii kukuweka kwenye chupa, hawana maana hata kidogo
   
 3. chobu

  chobu JF-Expert Member

  #3
  Dec 10, 2010
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 303
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hao wadudu sio mchezo!!!!!!!!!!
   
 4. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #4
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Unawatafuta wanini sasa?
   
 5. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #5
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  mungu aliwaumba kuyatimiza hayo yote uliyoyataja
  kwahiyo wana du ze nidful!!!!
   
 6. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #6
  Dec 10, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ujasiri wa hivo hata sisi tunao.,
  Humjui/hakujui unang'oa...tutabebaga majini siku nyingine
   
 7. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #7
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kwa hili nakugongea thanks leo umeongea point sana
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Dec 10, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,436
  Likes Received: 22,352
  Trophy Points: 280
  Hata visivyo na maana vina utamu wake
   
 9. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #9
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Halafu wazuri tena si wachoyo kama tufikiriavyo
  Ni yeye kukuelewa tu
  Anakupa kipago cha manati
  Unamaliza ma ugwadu yako
  Kweli hawaogopi:A S-alert1:
   
 10. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #10
  Dec 10, 2010
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  kweli wakuu hawa wadudu wana moyo sana ila nafikiri wanaongoza kwa roho mbaya na ujasiri wakiamua kukufanyia ubaya utashangaa
   
 11. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2010
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kweli wanawake ni jasiri,lakini mbona umebase tu kny one stand jamani!!!!!!
   
 12. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Ona mashangazi walivyo na roho za BIBI AGA yule mchawi wa kwenye hadithi za ua jekundu
   
 13. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hebu kuweni na heshima kidogo, shwaini! Mama yako au dada yako au mkeo ni mdudu?
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,429
  Likes Received: 3,792
  Trophy Points: 280
  Si kwamba ni wajasili sana..........NI KUWA ILE NDUDE YAO NI FREE SIZE.............. in capacity ya kutanuka na kusinyaa accordingly
   
 15. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo its ready kwa mtarimbo wa aina yeyote ule
   
 16. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #16
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Kumbe una majibu hapo kwenye red
   
 17. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #17
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 526
  Trophy Points: 280
  Lakini sio ile iliyo lala doro
   
 18. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #18
  Dec 10, 2010
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 255
  Trophy Points: 160
  Umeongea point sana aisee dah
   
 19. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #19
  Dec 10, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dena nimechukizwa sana na hao watu wawili wanaoita wanawake 'wadudu' wamenikwaza na kunifanya nitoke nje ya mada.
   
 20. B

  Brandon JF-Expert Member

  #20
  Dec 10, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 336
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ww,hebu tumia kauli nzuri. Ina maana hata mama yako nae ni mdudu?? Tumia busara bana ahh,umenikasirisha sana.
   
Loading...