Wanawake ngojeni ni wape siri-kuhusu sisi wanaume

Aisee.....kule nilikuwa 'underground bana' ila am sure unampata fazaa na mambo yake lol....he is back na mistari yake ile ile...enzi zile bana..:tape2::tape2::tape2:

aisseee nawatafuta watu wa kule siwaono kabisa
 
Hebu weka ushahidi wa pale nilipoandika/kushauri kwamba Wanaume wawaache wake zao wafanye mapenzi na Wanaume wengine.
Tazama hii quote yako chini.
Je, tukiigeuza hii thread ili iwe kwa ajili ya Wanaume kwamba wawaruhusu wake zao wawe na Wanaume wengi nje ya ndoa kwa sababu "sex differs from love." je, njembas tutakubali? au ndiyo yatakuwa yale yale mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!?

Au unakuwa hujuii unasema nini? wewe umekuja kwanza kugeuza mana ya hii thread, ili ulete pumba zako.
 
Sasa wewe mwenye akili hebu niletee kitabu cha dini kinacho sema....Mwanaume asiioe zaidi ya mwanamke mmoja.

Ukishindwa inabidi ukabili kuwa wewe ndo huna akilii.

Nangojea Quote zako za vitabu vyako.

Si unajua hata wehu wanajua kupiga kelele :biggrin:

:lol::lol::lol:
 
. . . . hakuna mwanaume amekuwa programmed afanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani.

Automatically hata wanawake hawajawa programmed kusex na mwanaume mmoja tu . . . . .

....Wewe chukulia umemruhusu mwanaume wako awe na mwanamke mwingine. Huyo mwanaume atakuappreciate sana, na atakupenda sana na atawacha kucheat kabisa...He would cherish you, na atakuweka kwenye sehemu kubwa sana kwenye moyo wake.

Labda kama wanawake ni Safari Lager au Premium Serengeti Lager . . . . . lakin kama nao ni human being, na wana wivu kama sisi wanaume . . . . . .

Wanawake wengi lazima wajue wazi sex differs from love....Yani msidhani sex ndo love hata siku moja, kama mnadhani vile mjuwe mnajidanganya tu

Hivi wagonjwa wa hii methali ni wanaume au wanawake?? Maana mara nyingi naonaga tukinyimwa tunda tunaanza kutunga "Kumbe hunipendi eeh?"

Mara nyingi sana ndoa zina fail sababu wanaume zenu wako mchaka mchaka kutafuta wanawake wa nje...Kwanini msiwakaribishe wanawake wengine ndani ya life za waume zenu, ili waaume zenu watulie na nyie.

Hujakutana na wanawake wanaopenda kusex na waitaliano, wamasai na wahindi wakat mmoja sio eeh? Wanajiheshimu tu kutokana na walivyolelewa tu, lakin na wao wanatamani vizuri . . .

Leo unakuta mwanamke analamika eti, mwanaume kabla ya kuoa lazima amishauri kwanza. Akushauri vipi, wanawake mnapaswa kujiuliza swali moja tu...ingekuwa nyie ndo mnaruhusiwa kuoa wanaume zaidi ya mmoja...Mgeshauri wanaume zenu time ya kuoa, au hata mgetujali tutapenda au hatupendi? Aisay sidhani...Mana speed zenu ni kali kuliko zetu...mgekuwa kila siku mnaongeza wanaume.

. . . . kumbe unajua eeeh kumbe na wao wanapenda kuwa na nyumba ndogo za kiume??

Wasitokee hapa wengine wakaleta dini, mana mkiingia kwenye dini mjue mmeumia, mana hakuna kitabu cha dini kinaruhusu mwanamke aowe zaid ya mwanaume mmoja....Lakini vitabu vyote vya dini karibu vinaruhusu mwanaume aowe zaid ya mmoja.

. . . . daaah . . . nitajie dini tatu kuu zinazoruhusu haya mambo??
 
Ndo maana hata mie natafuta wafuai wa Molygamy.
Ya nini mtesane kung'ang'aniana wakati mnaweza fanya kolabo na watu wengine bila kuvunja ndoa yenu?
Uhuru wa mwandishi aidhuru tabaka tawala tu.

Teh teh teh teh kolabo!! i think like this, but it should be underground.
 
@CPU

Automatically hata wanawake hawajawa programmed kusex na mwanaume mmoja tu . .

sawa tunakubaliana na tunaona wanafanya wengi tu wewe huwaoni malaya, sasa hapa kuna lipi jipya....usikwepe hapa swali langu ok....swali; Je mwanamke anaweza kuowa mwanaume na dini gani inayo ruhusu hayo? unless awe bhudest au mtu asiye kuwa na dini.

Labda kama wanawake ni Safari Lager au Premium Serengeti Lager . . . . . lakin kama nao ni human being, na wana wivu kama sisi wanaume

Hakuna anaye kataa hapo, kila mwanamke ana wivu hata akiwa mke wako wanne atakuwa ana wivu sasa tatizo liko wapi?

Maswal mengine yalete nipate KUYA QUOTE ndo nikujibu, siwezi kufata kila wakati kusoma kule chini afu ndo nije kujibu, tunapoteza time.

Leta kila swali na quote sio niwe na copy kule na kupaste kazi hio siwezi.

Lakini hayo maswali mengine naona kama yote nimeisha ya jibu, ukiona kama nme ikwepa swali lako...Uliza tu takujibu kesho mungu akipenda...kama takuws free...Wala usijali hapa tuko kuelimishana..
 
@CPU

Automatically hata wanawake hawajawa programmed kusex na mwanaume mmoja tu . .

sawa tunakubaliana na tunaona wanafanya wengi tu wewe huwaoni malaya, sasa hapa kuna lipi jipya....usikwepe hapa swali langu ok....swali; Je mwanamke anaweza kuowa mwanaume na dini gani inayo ruhusu hayo? unless awe bhudest au mtu asiye kuwa na dini.

Labda kama wanawake ni Safari Lager au Premium Serengeti Lager . . . . . lakin kama nao ni human being, na wana wivu kama sisi wanaume

Hakuna anaye kataa hapo, kila mwanamke ana wivu hata akiwa mke wako wanne atakuwa ana wivu sasa tatizo liko wapi?

Ndugu Fazaa
Sex na Ndoa ni vitu viwili tofauti kabisa . . . . . Ndoa ni muunganiko wa watu waliokubali kuishi pamoja. Sex ni tendo la kufanya ngono na si kuishi pamoja, ingawaje kwenye ndoa kuna sex pia.
Ngoja niongelee Wakristo walivyo . . . . wao wanaruhusu kuoa wake wangapi?

Laima ufahamu kuwa KUPENDA au MAPENZI sio kukusanya wanawake wote unaowatamani na kusex nao. Kupenda ni kumkubali mwenza wako hata na yale ambayo ni madhaifu yake au yale ambayo hana. Nashangaa unaniuliza tatizo liko wapi? Mwanaume kuwa na wanawake wengi huoni kuwa ni tatizo??
 
Mkitaka wanaume zenu wawapende, wachieni wanaume zenu waowe wanawake wengine....Lazima mfahamu haya hakuna mwanaume amekuwa programmed afanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani.

Najua wengi wenu mtasema what the heck am I talking about....Wewe chukulia umemruhusu mwanaume wako awe na mwanamke mwingine.

Huyo mwanaume atakuappreciate sana, na atakupenda sana na atawacha kucheat kabisa...He would cherish you, na atakuweka kwenye sehemu kubwa sana kwenye moyo wake.

Wanawake wengi lazima wajue wazi sex differs from love....Yani msidhani sex ndo love hata siku moja, kama mnadhani vile mjuwe mnajidanganya tu.

Mara nyingi sana ndoa zina fail sababu wanaume zenu wako mchaka mchaka kutafuta wanawake wa nje...Kwanini msiwakaribishe wanawake wengine ndani ya life za waume zenu, ili waaume zenu watulie na nyie.

Leo unakuta mwanamke analamika eti, mwanaume kabla ya kuoa lazima amishauri kwanza.

Akushauri vipi, wanawake mnapaswa kujiuliza swali moja tu...ingekuwa nyie ndo mnaruhusiwa kuoa wanaume zaidi ya mmoja...Mgeshauri wanaume zenu time ya kuoa, au hata mgetujali tutapenda au hatupendi? Aisay sidhani...Mana speed zenu ni kali kuliko zetu...mgekuwa kila siku mnaongeza wanaume.

Wasitokee hapa wengine wakaleta dini, mana mkiingia kwenye dini mjue mmeumia, mana hakuna kitabu cha dini kinaruhusu mwanamke aowe zaid ya mwanaume mmoja....Lakini vitabu vyote vya dini karibu vinaruhusu mwanaume aowe zaid ya mmoja.

Siku njema.

Leo kwa mara ya kwanza nimekutana na utani unaonifanya nijisikie vibaya kuwa mwanaume. Wewe kibaba wewe....una akili zote ndugu yangu?

Mimi naomba hilo liambatane na wewe kumruhusu mkeo awe anakung'utwa na wanaume wengine ili mkeo akupende kwani maumbile yake nayo hayana shida kuintatein wanaume wengi
 
Lizzy LIKES this post.
Welcome back.
 
  • Thanks
Reactions: CPU
I see binadamu tuna kazi. Sikuwah kujua kuwa Mungu aliweka program kwa wanaume wawe wanajivinjari tu kwenye miili ya wanawake wapendavyo, either kwa kuoa au kuwa na vimada wengi
..Lazima mfahamu haya hakuna mwanaume amekuwa programmed afanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani.,
Najaribu kuwaza hii thread, eti wanaume waoe watakavyo tuwaruhusu ili watupende, watapenda wangapi? Penzi lingawanyika?
Alafu haya maradhi, let say umeoa wanne, ukiwa kwa wa kwanza una uhakika gani hao wa3 watakuwa wanafanya nini? Mzunguko wa kuwazungukia nao wakichepuka kujua zao na wanaume wengine. Maradhi tayari.
Fazaa be realistic ndugu,
 
Mi nanyooshanyoosha tu miguu i mean napita, ila tu angalizo hii mada angeiona King Mswati angeomba iondolewe soon!
 
Burudani sana hii..!!!

Mkitaka wanaume zenu wawapende, wachieni wanaume zenu waowe wanawake wengine....Lazima mfahamu haya hakuna mwanaume amekuwa programmed afanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani.

Najua wengi wenu mtasema what the heck am I talking about....Wewe chukulia umemruhusu mwanaume wako awe na mwanamke mwingine.

Huyo mwanaume atakuappreciate sana, na atakupenda sana na atawacha kucheat kabisa...He would cherish you, na atakuweka kwenye sehemu kubwa sana kwenye moyo wake.

Wanawake wengi lazima wajue wazi sex differs from love....Yani msidhani sex ndo love hata siku moja, kama mnadhani vile mjuwe mnajidanganya tu.

Mara nyingi sana ndoa zina fail sababu wanaume zenu wako mchaka mchaka kutafuta wanawake wa nje...Kwanini msiwakaribishe wanawake wengine ndani ya life za waume zenu, ili waaume zenu watulie na nyie.

Leo unakuta mwanamke analamika eti, mwanaume kabla ya kuoa lazima amishauri kwanza.

Akushauri vipi, wanawake mnapaswa kujiuliza swali moja tu...ingekuwa nyie ndo mnaruhusiwa kuoa wanaume zaidi ya mmoja...Mgeshauri wanaume zenu time ya kuoa, au hata mgetujali tutapenda au hatupendi? Aisay sidhani...Mana speed zenu ni kali kuliko zetu...mgekuwa kila siku mnaongeza wanaume.

Wasitokee hapa wengine wakaleta dini, mana mkiingia kwenye dini mjue mmeumia, mana hakuna kitabu cha dini kinaruhusu mwanamke aowe zaid ya mwanaume mmoja....Lakini vitabu vyote vya dini karibu vinaruhusu mwanaume aowe zaid ya mmoja.

Siku njema.
 
Ndugu Fazaa
Sex na Ndoa ni vitu viwili tofauti kabisa . . . . . Ndoa ni muunganiko wa watu waliokubali kuishi pamoja. Sex ni tendo la kufanya ngono na si kuishi pamoja, ingawaje kwenye ndoa kuna sex pia.
Ngoja niongelee Wakristo walivyo . . . . wao wanaruhusu kuoa wake wangapi?

Laima ufahamu kuwa KUPENDA au MAPENZI sio kukusanya wanawake wote unaowatamani na kusex nao. Kupenda ni kumkubali mwenza wako hata na yale ambayo ni madhaifu yake au yale ambayo hana. Nashangaa unaniuliza tatizo liko wapi? Mwanaume kuwa na wanawake wengi huoni kuwa ni tatizo??
Ndugu CPU,

Nashukuru sana kwa kuwa umeanza kuelewa mada sasa vizuri weldone.

Yani mimi tokea mwanzo nazungumzia ndoa na si zungumzie sex.....Yani mtu anapo taka kuoa mke wa pili hazungumzii sex anaongelea ndoa.

Mtu kama anataka kufanya sex vipi ajisumbue kutafuta mke wa pili na malaya wako wengi tu, nadhani hapo umenipata au bado.

Yani mwenye kuoa akitaka kufanya sex sio lazima aongeze mke ataenda nje ya ndo na kusex na wanawake wa nje.

Yani mmeishiwa point mmebakia kurudia maneno ya pale na hapa.

Nilisha sema toka mwanzo sex na love ni vitu tofauti kabisa, kuna wengine wakaja kugeuza thread hapa, na wewe sasa umekubaliana na mimi kuwa sex si love....Na hapo ndo nilipo ongelea mimi.

Nikaendelea kusema sex inaweza kuwa love kama unafanya na mke wako sawa, na nikasema huwezi kusema mtu kawa raped kuwa amefanya love na mwanaume.

Yani mnarudia yale nilio yasema, yani binadamu wakita kubisha watachukua hata maneno yako wayageuza yawe yao ili wabishe tu.
 
Leo kwa mara ya kwanza nimekutana na utani unaonifanya nijisikie vibaya kuwa mwanaume. Wewe kibaba wewe....una akili zote ndugu yangu?

Mimi naomba hilo liambatane na wewe kumruhusu mkeo awe anakung'utwa na wanaume wengine ili mkeo akupende kwani maumbile yake nayo hayana shida kuintatein wanaume wengi
Aisay kweli kuna watu hawana lakusema zaidi ya matusi.

Hapo wewe njoa na point ili tujuwe kosa liko wapi mwanaume akioa mke wa pili.....Si kuleta matusi eti mke wangu nimruhusu afanye sex hahaha.

Kweli akili ni mali, watu wakikosa point za kukushinda wanakimbilia kuanzisha matusi.....Mke wangu utamsikia tu baba, kaolewa na mwanaume ambaye haendi na wakati, tafuta wanaume wanao enda na wakati ndo watakupa wake zao usex nao.
 
Mkitaka wanaume zenu wawapende, wachieni wanaume zenu waowe wanawake wengine....Lazima mfahamu haya hakuna mwanaume amekuwa programmed afanye sex na mwanamke mmoja tu hapa duniani.

Najua wengi wenu mtasema what the heck am I talking about....Wewe chukulia umemruhusu mwanaume wako awe na mwanamke mwingine.

Huyo mwanaume atakuappreciate sana, na atakupenda sana na atawacha kucheat kabisa...He would cherish you, na atakuweka kwenye sehemu kubwa sana kwenye moyo wake.

takwimu zaonyesha ndoa ya mume na mke mmoja ndiyo yenye furaha na hudumu kwa maana ina vitendo haba vya ngono na uzinifu kama penzi lipo kati ya wanandoa..........................

ajabu kila mwaumme anapofanya ngono hamu haipungui ila yaongezeka kuzini na wapya.................akifikiri upya ni kinyemi..................na huendelea vivyo hivyo hadi mauti itakapompumzisha.................na mara nyingi huwa mwathirika wa magonjwa ya zinaa ukiwemo ukimwi.......
 
Back
Top Bottom