CPU
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 3,863
- 686
Unatafuta ligi ya kidini kiujanja ehhhh? Ngoja wataalamu waje kukujibu
Yaani wala usisumbuke kumjibu huyu mtu, analeta mada ambayo hawez hata kuitetea.
Naamuuliza afafanue mstari wa Biblia eti anajibu "Huna jipya wewe!!"
Namuuliza atuambie wapi wameruhusu kuoa wake zaid ya mmoja kwenye bible, ananijibu "Unapingana na Biblia wewe?"
Yaani majibu yake hayaendani kabisa na anachoulizwa. Ni mbishi tu by Nature.
Anaelewa fika kuwa hajawahi ona mkristo mwenye ndoa za wake wawili au zaid za kanisani, pamoja na kudai kwake eti HAIJAKATAZWA.
Ukiangalia post yake utaona sehemu anasema . . . "vitabu vyote vya dini karibu vinaruhusu mwanaume aowe zaid ya mmoja"
Ila kashindwa kutaja hiyo ruhusa iko wapi ktk Biblia
Tamaa zake za kuwa na wanawake wengi ndo anazitawanyisha kwa kila mwanaume. Mwenyewe ameziita eti SIRI KUHUSU WANAUME . . . . Daaah!!!! Kumbe ndo siri zake mwenyewe!!!
Ujue hapa anajisema LIVE yeye mwenyewe kuwa, BILA KUZINI NA WANAWAKE WENGI BADO HAJAPENDA. Ushamsoma hapo????