Wanawake ndo walivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake ndo walivyo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ney kush, Feb 18, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Usijaribu hata cku moja kumsaidia mwanamke ambae ni mpenz wako halafu siku mkija gombana kumkumbusha wema uliomtendea .... Tenda wema sepa
   
 2. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kama ulitenda wema kwa ajili ya wema kwa nini ukumbushie?

  Ila sipendi wale ambao mkikwaruzana kidogo tu anaanza kukumbushia mambo fulani fulani kama vile alikufanyia favor au kama vile wewe umeenda kumtangazia kwa watu yeye ana nini nyumbani kwake.

  So childish!
   
 3. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #3
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  usipomsaidia mwanamke ambae ni mpenzi wako umsadie mwanamke gani? hayo ya kuumizana ni matokeo tu.
   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mama yako au dada yako, mbona wengi tu mkuu...
   
 5. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #5
  Feb 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,370
  Likes Received: 3,203
  Trophy Points: 280
  Changudoa mnamalizana hapo hapo hamna kudaiana wala kupeana vijizawadi, safi sana.
   
 6. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #6
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45

  hujanipata. nina maana wa mahusiani ya kila siku in the sense wale ambao hawana mahusiano. hata hivo mbona aitii akilini kukataa msaidia mpenzi wako kama liko ndani ya uwezo wako let alone mwanamke.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Unataka kusema mwanamke wako hakumbuki fadhira ulizomtendea?
   
 8. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #8
  Feb 18, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Sio tu kwa mtu wako, hata kwa ndugu na jamaa ukimsaidia usitarajie akulipizie fadhila.
   
 9. Chauro

  Chauro JF-Expert Member

  #9
  Feb 18, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 2,969
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  tenda wema nenda zako!
   
 10. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #10
  Feb 18, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Umetuacha hewani hewani ukimkumbusha inakuwa je?
   
 11. Mtafiti1

  Mtafiti1 JF-Expert Member

  #11
  Feb 18, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 264
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Unapomkumbushia unataka kupata nini?
  Unataka asiwe na usemi kwa vile uliwahi kumsaidia?
  Umechemka!
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Feb 18, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  unamkumbushia ili asikuache au?
   
 13. A

  Aisha Adam JF-Expert Member

  #13
  Feb 18, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tenda wema nenda zako wala usingoje shukrani, haina haja ya kumkumbusha au kumdai mwenzio malipo ya wema uliomtendea wkt mkiwa wote kwani wkt wote mkiwa ktk mahusiano hadi mnafikia hatua ya kusaidiana kwa kila mtu kulidhia mwenyewe kunakuwa hakuna haja ya kumkumbusha mwenzio wema ulio mtendea au aliokutendea.
   
 14. MWENYE HEKIMA

  MWENYE HEKIMA JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2016
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 315
  Likes Received: 163
  Trophy Points: 60
  wema hauozi
   
Loading...