Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 99
not enough una hidden agenda wewe!
umekuja kutaka PM za kaka wa JF...ndio unapose kama yule 'perfect mwanamke' wakaka wanaomuota...
ofourse kwa wanaume sex ina kipaumbele kuliko vingine vyote,na wewe ndio unapose km biggest provider wa hio kitu....mnh hata km uko 'hunting' sio kwa kujishusha namna hio....:twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::twitch::coffee:opcorn:
Kula tano.