Wanawake ndo tunasababisha waume zetu kutoka nje.

Unaeza kubanjuka hadi angani but mwanaume asitulie,it takes more than just what you do in bed to make a marriage work..mnahitaji kuwa commited wote.what you do in bed takes maybe a max of 2hrs per day.unafanya nini nae in the other 22hours?.sex is part but not everything!.
 
Dada labda kama ndoa yako ina mwezi mmoja ndo utatwambia haya
Kama Mwanaume amedhamilia kutoka nje hata umpe kama dose ya Panadol kutwa mara tatu atatoka tu
Unaweza kumpa penzi kumbe kule nje kuna mtu kamvutia vile tu anavyotengeneza nywele,Kucha zake na mengineyo
Kwa hiyo sweetie usijidanganye kwa hilo muombe tu mungu amuonyeshe mme njia na mapito sahihi
 
Sex ni muhimu, na wote tunatakiwa tuipende.
Bahati mbaya sex kwa upande wa mwanamke inahusisha saikolojia, hisia na mood. Mambo haya yanafanya mwanamke japo viungo vyake vinatamani kufanya sex, lakini akili yake haimpi nguvu ya kuonyesha, anaishia kubaki katikati.
Haya hutokana na mambo mengi tu,
kuna magonjwa, yanayosababisha maumivu wakati au baada ya tendo,
kuna hasira ambayo imekuwa kama kinyongo na japo unataka lakini akili haikuachi ufanye au ufanye kama unavyotamani
kuna kukosekana kwa ujuzi kwa mwanamke au patna wake inafanya uone ni kero tu na kupoteza muda
kuna kukosekana mapenzi au kuaminiana na kukaidhiana kunakofanya mtu uishi kwa kutamani historia ibadilike au mhuyo mtu abadilike
kuna kuchoka ama kwa kazi nyingine au kufanya sana hadi umekosa ladha
kuna kukosa muda mzuri

nk nk

mambo yako mengi sana yanayo kwaza wanawake,
ila kwa kifupi nakubaliana kwamba ni jambo la raha sana likiwapata wahusika wawili wanaoaminiana, wanaojaliana wanaoelewa maana kwa umoja wao, wanopendana na kupenda kufanya pamoja, wenye afya, na wenye muda.
 
Hao wanaoogopa kujiachia wameumwa na nyoka, kuna jinsi huyo mwanaume hajaonyesha kuwa anathamini starehe ya patna wake, na kuwa atakapoonyeshwa hataichukulia kama ni dalili ya umalaya na kuanza kumdalilisha au kumnyanyapaa nayo, bora ujikalie kimya shosti. Najua unajua wanawake tunavumilia mengi kwa ajili ya familia zetu, hilo nalo ni mojawapo.
Mie naona ni kazi ya mume kumhakikishia usalama mke wake, pamoja na siri zake zote.
Wanaume wa shoka siku hizi wachache dia, wenye kifua cha kubeba wanawake wa Beijing, ukijifanya uko juu sana kuna mawili, ama akuache uwe ndio baba wa nyumba yeye awe neutral, na hapo atakusikiliza kila unachotaka bila yeye kuwa na direction yoyote, au atareact na kuwa mbogo na kuleta vurugu nyumbani mpaka pawe hapakaliki.
Bora tu kama hujapata bahati ya kupata mume mwandani, wa kukubeba wewe na raha na shida zako zote, mambo mengine uvumilie kimyaaaa.
 
kutoka nje ya nyumba kwa wote mwanaume na mwanmke hakutokani na kukosa sex nyumbani au kupata sex asiyoridhika nayo bali husababishwa na tamaa. ni tabia, ni hulka ya mtu. mwanume mtu mzima hadanganywi kwa pipi, tamaa, akili na hisia zake zikimtuma kwenda huko hata ungefanya nini ataenda. ni shetani ndiye huwajarimu na kwa sababau ya kukosa imani tamaa inawawaka kirahisi na kupuuza heshima na staha ya familia.

mwanaume au mwanamke anayemuhofu Roho Mtakatifu aishiye ndani yake, hata ukimnyima sex kwa mwaka mzima hatatoka nje ya nyumba yake. kwani sex ni sehemu ya mpango wa Mungu na kila anayemhofu Mungu huichukulia kama ibada.

wote tunajua imeandkwa kuwa itamfaa nini mtu kupata ulimwengu mzima na anasa zake na kisha akatupwa kwenye jehanamu ya moto? basi kama ni jicho lako limekukwaza, ni heri uling'oe hilo na kuingia mbinguni ukiwa chongo kuliko kutupwa jehanamu ukiwa na macho mawili.

kwa ndoa salama tujiepushe na tamaa. tamaa ikichukua mimba huzaa dhambi, na dhambi ikikomaa huzaa mauti. ndugu wapenzi msidanganywe, mtenda dhambi ni mtumwa wa dhambi! believe the scriptures
 
Wanawake ndo chanzo kikubwa cha wanaume zetu kufanya mapenzi nje. Sababu wanawake wengi wanajifanya hawapendi kufanya mapenzi kitu ambacho si kweli. Wanawake wanapenda sana kufanya mapenzi ila wanaogopa kuonyesha wanaume zao eti wataitwa malaya. Huo ni ujinga mtupu kuleni kitu roho inapenda.

Mimi binafsi na admit kwamba napenda sex na mpenzi wangu analijua hilo hivyo na wenzangu muwe wakweli pia. Msilete mambo ya siyo wanawake wote wanapenda NI KWAMBA WOTE TUNAPENDA SEX. Wewe unae andika comment yako sasa fikiria kwanza huja andika.

Acha ujinga wa kutulazimisha wote kukubaliana na wewe......na unaposema tuwe wakweli alikuambia nani hapa watu wanadanganya?ili iweje?tuko sokoni hapa kwamba tunafanya marketing??

Kwa mtu usiye fanya analysis unaweza ona mwanamke ndo chanzo kikubwa cha wanaume kutoka nje,hakuna jibu moja la kwanini mwanaume anatoka nje,wapo wanawake wanafanya kila linalowezekana na wanaume wao wanatoka nje....kutoka au kubaki ndani ya ndoa ni decision ya mwanaume mwenyewe kwa asilimia kubwa.......dunia hii ya leo ina vishawishi vya ajabu,ina nguvu za giza,ina kuporomoka kwa maadili na kushuka kwa hofu ya Mungu,kuna wanaume kutoka nje ya ndoa ndo kuonyesha urijali wake au ndo tabia ambayo hata kwa baba yake amerithi,na wengine ni kitu cha kujivunia,wengine wameoa watu wasiowapenda,wengine haridhiki na hawezi lala na mwanamke mmoja kila siku...the list goes on and on....

Kwenye suala la wanawake kutokupenda sex,wapo wengi tu wala si wachache.....kuna watu hawapendi sex kutokana na maumbile yao na maumivu wayapatayo after sex,kuna waliobakwa ambao hawana hamu na wanaishi kwa hofu hata ya kukutana na mwanaume,kuna waliokuwa katika mahusiano mabaya wameshindwa kusamehe na kusahau na wanaona sex kama utumwa fulani,kuna wasiopata raha wakati wa sex na hawaoni kwanini wafanye,the list goes on and on......

Kupenda kwako mapenzi na kumwambia mwanamme wako na kubinjuka kama utaona ufalme wa mbingu ukifanya hivyo haimfanyi mwanaume abaki kuwa wako....at the end anaweza tamani nje na akatoka.....yeye ni binadamu independent na mwili wake hata kama kaoa...

I hate generalisations......na usiwe unasema tuache ujinga tule kitu roho inapenda...kitu roho inapenda kwako si lazima roho yangu iwe inapenda.....na tuko tofauti huku duniani na tumekutana na mambo tofauti kuwa tulivyo.....ukileta mada we iweke but kugeneralise ni ujinga wa hali ya juu.
 
Kweli sisi wenyewe ndio tunaosababisha ila kumtuliza mwanaume kunahitaji zaidi yakuzipeleka kitandani!Ongeza kumjali..kumpenda kwa maneno na matendo..kumheshimu..kumbembeleza..kumsifia..kumfanya ajihisi yeye ndo yeye kwako..kumpa moyo anapoonyesha kushindwa au kukata tamaa..na mengineyo!

Hawapendeki hawa, wanatamaa sana.

Kunawanawake wanawaheshm waume zao na kuwajali sana. Lakini bado hawa wanaume wanachovya chovya huko nje.
Hii ni tabia tu ya mtu.
Mwanamke pia ni binadam mwenye hisia na anapenda pia kuheshimiwa.
Si dhani kama huyu mwanaume hamweshmu mke wake ategemee yeye tu kuheshmiwa na kupewa mambo mazuri.
Miye naamini kuwa mapenzi kunoga ni give and take ..
 
mtoa sredi mjanja sana . . . . ha ha ha ha ha
kawatimua watu fulani wasi-comment hapa

sio sex tu ndugu yangu kuna wengine hapa utawasikia wanadai SINA MPANGO KABISA NA WANAUME KTK MAISHA YANGU lakin fuatilia utekelezaji wa maneno yake ujionee tofauti

You are stupid....una ushabiki wa kipumbavu na wa kishamba.....grow up!!!
 
Umeshtukia ee, kuna wadada humu ndani wanajifanyaga wao mambo fulani nini ustarabu, wapiii
 
:sick::sick:Haya akina mama/dada kazi kwenuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:twitch::twitch::twitch:
 
Acha ujinga wa kutulazimisha wote kukubaliana na wewe......na unaposema tuwe wakweli alikuambia nani hapa watu wanadanganya?ili iweje?tuko sokoni hapa kwamba tunafanya marketing??

Kwa mtu usiye fanya analysis unaweza ona mwanamke ndo chanzo kikubwa cha wanaume kutoka nje,hakuna jibu moja la kwanini mwanaume anatoka nje,wapo wanawake wanafanya kila linalowezekana na wanaume wao wanatoka nje....kutoka au kubaki ndani ya ndoa ni decision ya mwanaume mwenyewe kwa asilimia kubwa.......dunia hii ya leo ina vishawishi vya ajabu,ina nguvu za giza,ina kuporomoka kwa maadili na kushuka kwa hofu ya Mungu,kuna wanaume kutoka nje ya ndoa ndo kuonyesha urijali wake au ndo tabia ambayo hata kwa baba yake amerithi,na wengine ni kitu cha kujivunia,wengine wameoa watu wasiowapenda,wengine haridhiki na hawezi lala na mwanamke mmoja kila siku...the list goes on and on....

Kwenye suala la wanawake kutokupenda sex,wapo wengi tu wala si wachache.....kuna watu hawapendi sex kutokana na maumbile yao na maumivu wayapatayo after sex,kuna waliobakwa ambao hawana hamu na wanaishi kwa hofu hata ya kukutana na mwanaume,kuna waliokuwa katika mahusiano mabaya wameshindwa kusamehe na kusahau na wanaona sex kama utumwa fulani,kuna wasiopata raha wakati wa sex na hawaoni kwanini wafanye,the list goes on and on......

Kupenda kwako mapenzi na kumwambia mwanamme wako na kubinjuka kama utaona ufalme wa mbingu ukifanya hivyo haimfanyi mwanaume abaki kuwa wako....at the end anaweza tamani nje na akatoka.....yeye ni binadamu independent na mwili wake hata kama kaoa...

I hate generalisations......na usiwe unasema tuache ujinga tule kitu roho inapenda...kitu roho inapenda kwako si lazima roho yangu iwe inapenda.....na tuko tofauti huku duniani na tumekutana na mambo tofauti kuwa tulivyo.....ukileta mada we iweke but kugeneralise ni ujinga wa hali ya juu.

You always use " generalise" as defensive mechanism. why dont you just put your own comments as what is your stand?
 
I do not have to defend myself to anyone in JF,no one.....i simply share what i know and thats my opinion......where i stand is non of your business......
 
Acha ujinga wa kutulazimisha wote kukubaliana na wewe......na unaposema tuwe wakweli alikuambia nani hapa watu wanadanganya?ili iweje?tuko sokoni hapa kwamba tunafanya marketing??

Kwa mtu usiye fanya analysis unaweza ona mwanamke ndo chanzo kikubwa cha wanaume kutoka nje,hakuna jibu moja la kwanini mwanaume anatoka nje,wapo wanawake wanafanya kila linalowezekana na wanaume wao wanatoka nje....kutoka au kubaki ndani ya ndoa ni decision ya mwanaume mwenyewe kwa asilimia kubwa.......dunia hii ya leo ina vishawishi vya ajabu,ina nguvu za giza,ina kuporomoka kwa maadili na kushuka kwa hofu ya Mungu,kuna wanaume kutoka nje ya ndoa ndo kuonyesha urijali wake au ndo tabia ambayo hata kwa baba yake amerithi,na wengine ni kitu cha kujivunia,wengine wameoa watu wasiowapenda,wengine haridhiki na hawezi lala na mwanamke mmoja kila siku...the list goes on and on....

Kwenye suala la wanawake kutokupenda sex,wapo wengi tu wala si wachache.....kuna watu hawapendi sex kutokana na maumbile yao na maumivu wayapatayo after sex,kuna waliobakwa ambao hawana hamu na wanaishi kwa hofu hata ya kukutana na mwanaume,kuna waliokuwa katika mahusiano mabaya wameshindwa kusamehe na kusahau na wanaona sex kama utumwa fulani,kuna wasiopata raha wakati wa sex na hawaoni kwanini wafanye,the list goes on and on......

Kupenda kwako mapenzi na kumwambia mwanamme wako na kubinjuka kama utaona ufalme wa mbingu ukifanya hivyo haimfanyi mwanaume abaki kuwa wako....at the end anaweza tamani nje na akatoka.....yeye ni binadamu independent na mwili wake hata kama kaoa...

I hate generalisations......na usiwe unasema tuache ujinga tule kitu roho inapenda...kitu roho inapenda kwako si lazima roho yangu iwe inapenda.....na tuko tofauti huku duniani na tumekutana na mambo tofauti kuwa tulivyo.....ukileta mada we iweke but kugeneralise ni ujinga wa hali ya juu.
yaani ukiwa unarud unambie nije airpot nikupokee na matarumbeta jaman ...UMEONA ENNHH?uyu mtoa mada anajifanya BALOZ WA WANAWAKE wote dunian..ajui anachokipenda yeye mimi sikipend kwa sababu kadha wa kadha

mada yake apana...ajui kwa nini john anatoka nje ...ajui kwa nini asha apend sex daily ..HAJAJISHUGULISHA KUTAFUTA SABABU AMBAZO M SURE ATA ANGEFANYA RESEARCH IYO MIAKA KENDA ASINGEPATA JIBU ...ndio akaamua kuja na conclusion zake kwa data alizopata saloon

generalization mabaya jaman msiwe mnakusanya tu

ur colour isnt my colur comm on gal..
 
You are stupid....una ushabiki wa kipumbavu na wa kishamba.....grow up!!!

msamehe sweetie
leo umekuwa mkali...unakumbuka ya kwenye PM?
bas mama achana nao ..pole

wknd niaje pande io?
njooo PM darling
 
yaani ukiwa unarud unambie nije airpot nikupokee na matarumbeta jaman ...UMEONA ENNHH?uyu mtoa mada anajifanya BALOZ WA WANAWAKE wote dunian..ajui anachokipenda yeye mimi sikipend kwa sababu kadha wa kadha

mada yake apana...ajui kwa nini john anatoka nje ...ajui kwa nini asha apend sex daily ..HAJAJISHUGULISHA KUTAFUTA SABABU AMBAZO M SURE ATA ANGEFANYA RESEARCH IYO MIAKA KENDA ASINGEPATA JIBU ...ndio akaamua kuja na conclusion zake kwa data alizopata saloon

generalization mabaya jaman msiwe mnakusanya tu

ur colour isnt my colur comm on gal..

Bora umeona ni data za saluni....tena za uswazi.....alafu ana jeuri na kiburi kwamba ana majibu.....ndo maana watu wanafeli shuleni.....kujiona unajua kila kitu, katika kazi yangu kama counsellor nimekutana na cases za ajabu sana.....wengine wanapata wanaume wanaowapenda na kutokana na yaliyomkuta maishani hataki sex.....leo mtu anakuja na upupu wake wa saluni anaweka hapa....kuna wanaume wanajitahidi kuacha kwenda nje lakini wapi.....haridhiki hata apewe huko dini inakokataa yeye kila mwanamke asiyelala nae anamtaka.....usijali Dada Tom,ngoja niende kazini......will PM you kuhusu safari.......msalimu Tom....miss you!
 
ila sisi wanawake kuna ambao wanajifanya hawapendi sex kumbe ndo makahaba, utaona tu wata comment labda leo waogope.
Nimeipenda sana sana hii wakipatikana wanawake wakweli kama wewe nzuli sana wambie wenzio bwana eti wakati wakitongozana kabla hawajawekana ndani alikua hodari akiwekwa ndani 2 wanabweteka.
 
msamehe sweetie
leo umekuwa mkali...unakumbuka ya kwenye PM?
bas mama achana nao ..pole

wknd niaje pande io?
njooo PM darling

Huyo nilimwambia hivyo nimemsoma si leo tu.....alitumwa na amenikuta sasa ligi ianze......
Wikiendi imeisha mamii ndo tunaanza kazi.....ngoja niku PM faster......
 
Hawapendeki hawa, wanatamaa sana.

Kunawanawake wanawaheshm waume zao na kuwajali sana. Lakini bado hawa wanaume wanachovya chovya huko nje.
Hii ni tabia tu ya mtu.
Mwanamke pia ni binadam mwenye hisia na anapenda pia kuheshimiwa.
Si dhani kama huyu mwanaume hamweshmu mke wake ategemee yeye tu kuheshmiwa na kupewa mambo mazuri.
Miye naamini kuwa mapenzi kunoga ni give and take ..

hawapendek km kdg
juz ndoa imevunjika...ilifungwa november last year soon afta honey moon mume akaanza drama mara anarud sa 9 usiku mara aonekan siku 3 mara wk mbl...akiulizwa anasema nilikuwa kwa rafk yangu (wa kike anadai ni rafiki tu si mpz wake,uyo dada mambo saf kaolewa na mzungu bt now kasafir kenda nje so anawenda kumpa kampan)juz ndoa imepeperuka na katika madai bnt anasema ni yeye alikuwa anatoa ela zoote akidhan atamfanya mumewe atulie...alitaka kinyume na maumbile nikampa nikidhani atatulia lakin wap....SO HAUWEZ KUMTULIZA MTU YEYOTE APA DUNIAN AWE MWANAMKE AU MWANAUME INGALI AJAAMUA KUTULIA

SO ili zigo kumtwisha mwanamke as source ya mume kutoka nje wala si sawa...si sawa si sawa..SI SAWA...na muache bias nyie pipo mnaoshadadia mwanamke ndo chanzo

kwan nyie hamna mapungufu?wake zenu wanadinywa nje?ebu achen kutafuta visingizio kwenye ushetwan wenu
kubali mkaosa like niliamua mwenyewe
hakuna aliyekamilika ni busara na uvumilivu ndo waitajika most.
 
Back
Top Bottom