Wanawake na wanafunzi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Siku ikitokea walimu wakuu wa shule za msingi wakajitambua na kusimamia sheria ya kutowalazimisha wanafunzi kwenda kuwapokea viongozi wa ccm na ktk mikutano yao, wanaume wakawathibiti wake zao wasiende kupiga vigeregere ktk hiyo mikutano ya ccm naamini viongozi wa cc m watahutubia miti na ndege warukao.
 
Au siku vyama vya upinzani vikibuni mikakati inayowavutia wanawake pia badala ya wanaume tu.
 
Hahaha acheni chuki bana na ccm! Hebu jaribuni kwanza kutatua yanayowasibu ndan ya chama chenu!!then ndo mje humu kujitapa...!
 
Siku ikitokea walimu wakuu wa shule za msingi wakajitambua na kusimamia sheria ya kutowalazimisha wanafunzi kwenda kuwapokea viongozi wa ccm na ktk mikutano yao, wanaume wakawathibiti wake zao wasiende kupiga vigeregere ktk hiyo mikutano ya ccm naamini viongozi wa cc m watahutubia miti na ndege warukao.
ina maana kama wanawake hawapigi kula hawashindi?
 
Haiwezekani kwani ccm ina wanachama wengi sana huko vijijini hivyo hata bila ya wanafunzi na wanawake wanaweza kufanya mikutano yao bila shida
 
Kamuulizeni Ghalib Billal yaliyomkuta musoma mwaka huu,pale uwanja wa mkendo. Alitamani hata hao wanawake lkn hakuona mtu, wanafunzi walitoroka njiani.
K2 msimamo tu, msiwadharau wanawake!
 
Tanzania hatuna vyama vya upinzani ila vya waganga njaa tu ndo vipo! Wengine kwa kudhani Watanzania wote ni mambulula walianza kwa:
1.Kutomtambua Rais
2.Kususia posho mjengoni
3.Kususa kuchukua magari ya kifahari
4.Operation sangala
5.Vua gamba vaa gwanda
6.M4C
Wenye uwezo mkubwa wa kufikiri tukaona mmh!Mbona wanadanganya mchana kweupe? Wavivu wa kufikiri endeleeni kuwapa support!
 
Ha ha ha Mkuuu umewaza mbalii.
Wasipowashangilia wanawake na watoto Mawe yatawashangilia.
 
Back
Top Bottom