Wanawake na uvaaji pete

Edmund

Senior Member
Jul 17, 2009
123
62
Kwenye maisha lazima utahitaji kuvijua vitu fulani kwa undani (Udadisi) ili kupunguza mawazo juu ya hicho kitu na kukielewa vizuri,
Leo naomba kufahamu juu ya uvaaji wa pete mbili kwa akina mama (ya Uchumba na ya Ndoa).
Naona wote wanaanza kuvaa ya Ndoa halafu ya uchumba inafuatia, wakati inaanza kuvishwa ya uchumba na Mchumba wa mtu husika kisha inafuatia ya ndoa ambayo inavishwa na padre/shehe/afisa ndoa kama nia bomani.
Naomba kujua hilo tu.

Lol hapo kwenye nyekundu sio wote......wapo wanaoitanguliza ya uchumba kisha ya ndoa. na vile vile ya uchumba mara nyingi huwa inavuliwa wakati wa kuvishwa ya ndoa (kwa kanisani) kwa sababu ya uchumba hutambuolika na wavalishanaji pamoja na ndugu zao but ya ndoa huwa imebarikiwa (na nadhani ukienda kanisani huambiwa uitoe mpaka mchungaji/padri akishakuvesha ya ndoa)

Edmund bora hata umepoint out hilo.... maana in most cases jamii ya wanawake wengi hua tunavaa tu hata Hu-observe kua ipi imefuata...lol... Enways ukweli ni kwamba naona imechangiwa na the fact kua majority ya wanawake wengi waloolewa ni kua ni wachache walipewa pete ya uchumba wakati anachumbiwa... hivo mara nyingi akishaolewa anajinunulea mwenyewe/ndo anaidai kwa mumewe.... hivo kutozingatia hilo suala... Na pia kuna issue ya the shape ya pete hasa hio ya uchumba kua ikoje ili iweze kaa vizuri kidoleni...

Mwe!! hili nalo neno. Lakini mie naona huwa tunavaa tu kwa ajili ya urembo but ya muhimu ni ile ya ndoa lol.

kwa imani ya kikristo,ideally unasema 'pokea pete hii, iwe ALAMA YA KUMBUSHO WA UPENDO NA UAMINIFU WANGU KWAKO' . ndio maana ukimuona mwanaume ama mwanamke amevaa pete uuna_assume ana mwenza. na kwenye infii na wale wakongwe wa infii wana-either vua pete wakitoka tu ndani, ama wanakua hawavai kabisa!
Pete ina umuhimu gani kwenye ndoa?

hili nami limekuwa swali langu siku nyingi lakini huwa sipati majibu kwa sababu hata wenye ndoa wanaovaa hizi pete wanavaa kwa mazoea tu.
Kuna wanaosema kuwa ni kudumisha uaminifu katika ndoa,,,, sina uhakika kwakuwa wengi walio na hizo ndoa sio waaminifu
Kuna wanaosema kuwa ni utambulisho wa kuwa huyu kaolewa au kaoa,,, ila bado sijui msaada wake ni nini
Kuna wanaosema ni sheria ya dini au madhehebu fulani na ndio maana sio wote wanaovaa hizo pete,,,, hapa ndio sielewi bado kwanini
Wengine hawana sababu yoyote wapo wapo tu ila wanazipenda sana hizo pete
Nway kama kuna mwenye jawabu zuri tafadhali tuelezane
Pete ina umuhimu gani kwenye ndoa?

kwa imani ya kikristo,ideally unasema 'pokea pete hii, iwe ALAMA YA KUMBUSHO WA UPENDO NA UAMINIFU WANGU KWAKO' . ndio maana ukimuona mwanaume ama mwanamke amevaa pete uuna_assume ana mwenza. na kwenye infii na wale wakongwe wa infii wana-either vua pete wakitoka tu ndani, ama wanakua hawavai kabisa!

Hivi ni Wakristo wote au ni madhehebu tu? Pia utamaduni huo umeanza lini? (Ni utamaduni wa Roma ya kale ambao umeingizwa kwenye dini baadae?)

Wale wazee bibi zetu walioana kanisani lakini bila ya pete ndoa zao zikoje?

Kwenye maisha lazima utahitaji kuvijua vitu fulani kwa undani (Udadisi) ili kupunguza mawazo juu ya hicho kitu na kukielewa vizuri,
Leo naomba kufahamu juu ya uvaaji wa pete mbili kwa akina mama (ya Uchumba na ya Ndoa).
Naona wote wanaanza kuvaa ya Ndoa halafu ya uchumba inafuatia, wakati inaanza kuvishwa ya uchumba na Mchumba wa mtu husika kisha inafuatia ya ndoa ambayo inavishwa na padre/shehe/afisa ndoa kama nia bomani.

Kero ni pale wanawake wenzangu wanavaa pete ya uchumba na ndoa wakati hana hata Boyfriend. Ili mradi ajulikane nae ana ndoa? Women think twice. Ni jinamizi lililowajaa wanawake wengi sasa hivi.

Engagement ring haina maana baada ya ya kuwa umefunga ndoa. wengi ni kutoelewa tu na kufanya vitu kwa mazoea. Baada ya ndoa unatakiwa uwe na pete moja mkononi tu.

wakristo wa kale hawakuwa na mengi tuliyonayo leo.hakukuwa na vyeti wala sherehe (nadhani ilianzia kana,wakina yusufu na babake yakobo waliishia kuchunga tu ng'ombe akapewa chake!). sina uzoefu na madhehebu mengi ya kikristo bt nadhani wasabato hawavai for the same reason hawavai hereni na mikufu. nadhani kwa miaka ya sasa yenye husuda na ufisadi wa kila aina,pete inabaki kuwa urembo tu. kama matron ama bestman anaweza kuhusiana na mwanandoa ambae yeye ameshahidia hadi kwa signature yake,what could be worse?
Hivi ni Wakristo wote au ni madhehebu tu? Pia utamaduni huo umeanza lini? (naamini Wakiristo wa kale walikuwa hawahusishi ndoa na pete)

Hivi ni Wakristo wote au ni madhehebu tu? Pia utamaduni huo umeanza lini? (Ni utamaduni wa Roma ya kale ambao umeingizwa kwenye dini baadae?)

Wale wazee bibi zetu walioana kanisani lakini bila ya pete ndoa zao zikoje?

Kwa wenzetu waislam hawavai pete kabisa, ila nao jinamizi limewajaa sasa hivi wanavaa. Kibaya zaidi wanaenda kuvishana ukumbini! hakuna sheikh mwehu anabariki pete, wanazitoa wapi?

Back
Top Bottom