Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,596
- 45,225
Em niache hukoo....mfyuuu😂
Em niache hukoo....mfyuuu😂
hahahahahahahaaaaaa, we jamaa phala sanaKuna wengine wanajaza marangi rangi usoni na mdomoni wanakuwa kama yale madaladala ya Nairobi sijui wanayaita matatuu...!
Pole kunywa majiUtafiti unaonesha kuwa wanawake hasa huvaa ghali kwa ajili ya wanawake wenzao, kuwarusha roho au wamuone kuwa yuko juu. Ndio maana wanaume hatujui fashiona za wanawake wala bei ya mavazi yao, bali wanawake wao kwa wao ndio wanao juana. Kwa swala la Nywele bandio hilo ni la kweli kabisa, labda niwaambe wanawake acheni kutoa mapovu, ukweli ni huo kuwa wanaume wengi hatupendi hizo mabo, Pia thamani yenu hushuka na kuonekana haujitambui. Angalau uwe na msambwanda wa maana kidogo ina balance na tutavumilia karaha za veaving kwa ajili ya hilo zigo tu. Sasa unakuka kamdada hakana matako, kiona kama mgomba miguu kama chelewa, sasa angalia kichani kamebeba zio la matakataka ya bandia mpaka kanakua na shepu ya Mwamvuli. Huwa mnatukera sana ggggghhhhhh
Na Mimi hapa!NDEVU ZINAPACHIKWA AU ZINAVALIWA? Mmh !!
NA MIMI...
Muongo huyo!Utakuwa jasiri zaidi ukibaki natural
Asilimia kubwa ya wanawake wanaovaa mawigi wana mapepo aka majini.Mbaya zaidi HARUFU SASA,,,nywele zinatoa HARUFU BALAA,,,KOPE ZA MACHO ndy USIONGEE,,,,kwann LAKINI?kuweni NATURAL WADADA,,,halafu mnasema NGUVU ZA KIUME wanaume ZIMEKWISHA,,,kumbe SABABU NI NYIIE fake women.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeropoka saana waala hujayapima maneno yawewe ndio mwakilishi wa wanaume dunia Hii!!
Uko kibandia bandia mother confessor!Em niache hukoo....mfyuuu😂
Eti kibandia bandia😅😩,.una utani na confessor eeh??Uko kibandia bandia mother confessor!
Mungu aliwaumba natural kabisa sasa mmeamua kujigeuza kuwa fake!
Tafadhali usinisemee kwake asije kuniben senene!Eti kibandia bandia😅😩,.una utani na confessor eeh??