Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 51,991
- 69,383
SAWA LOVEFanya hima tafadhali😀
SAWA LOVEFanya hima tafadhali😀
Unachekesha kweli, unamsemea na nani?
Ni naturalHiiiiii....tunavaa kujivutia wenyewe,.nyie mnavofuga midevu yenu kama Osama bin Laden mnawavutia nani??
Zipo ndevu bandia...
Hili wigi lako litakuwa la marehemu wa kihindi!Aliyekwambia tunawavutia nyie ni nani
Weka zako natural inatosha
Hahaaa .... jinga kweliHiiiiii....tunavaa kujivutia wenyewe,.nyie mnavofuga midevu yenu kama Osama bin Laden mnawavutia nani??
HahaaUko unachezea nywele Za mwanamke unangoja alainike, Kumbe unachezea wigi!
Pyeeeeee😝😝