Wanawake na nywele bandia

Wanawake wanaojitundika mavitu feki wengi wao hawana urembo wa asili.Nimeangalia kiumakini Sana.
 
Kufunga minywele ya bandia

Kubandika makucha ya bandia

Kuchubua rangi za ngozi

Kujigundisha mikope ya bandia

Hivi vitu vinauzi sana huwa navichukia nakuwachukia wahusika kwelikweli
 
Ni matokeo ya kutojiamini..wanawake wengi wa ki-africa hawajiamini. Kusema kweli hayo manywele yanakera mnoo! Lkn nadhani kuna wanaume wajinga yanawavutia ndiyo maana hali iko hivi..!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbaya zaidi HARUFU SASA,,,nywele zinatoa HARUFU BALAA,,,KOPE ZA MACHO ndy USIONGEE,,,,kwann LAKINI?kuweni NATURAL WADADA,,,halafu mnasema NGUVU ZA KIUME wanaume ZIMEKWISHA,,,kumbe SABABU NI NYIIE fake women.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utafiti unaonesha kuwa wanawake hasa huvaa ghali kwa ajili ya wanawake wenzao, kuwarusha roho au wamuone kuwa yuko juu. Ndio maana wanaume hatujui fashiona za wanawake wala bei ya mavazi yao, bali wanawake wao kwa wao ndio wanao juana. Kwa swala la Nywele bandio hilo ni la kweli kabisa, labda niwaambe wanawake acheni kutoa mapovu, ukweli ni huo kuwa wanaume wengi hatupendi hizo mabo, Pia thamani yenu hushuka na kuonekana haujitambui. Angalau uwe na msambwanda wa maana kidogo ina balance na tutavumilia karaha za veaving kwa ajili ya hilo zigo tu. Sasa unakuka kamdada hakana matako, kiona kama mgomba miguu kama chelewa, sasa angalia kichani kamebeba zio la matakataka ya bandia mpaka kanakua na shepu ya Mwamvuli. Huwa mnatukera sana ggggghhhhhh
 
Back
Top Bottom