Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,083
- 13,961
Mwanamke wa kiafrika umevaa mavuzi ya marehemu wa kihindi kichwani mwako afu unakuta analeta pozi kujaribu kuzirusharusha na kiswenglish kingi.
Ulimbukeni tu.Mwanamke wa kiafrika umevaa mavuzi ya marehemu wa kihindi kichwani mwako afu unakuta analeta pozi kujaribu kuzirusharusha na kiswenglish kingi.
😆😆😆😆Pindi network inapokata halafu wanaanza kugonga kichwa mpaka irudi
Huwa natamani niwape rungu kabisa
Nimefuta kaulisio vizuri jaman
Subir ukue zitaotaUlipogusia ufugaji wa ndevu
Umenipa mfarakano wa nafsi. Sijui lini ndevu zitaanza kuota kwangu
Kwanini nisiweke na pesa najua kuzisakaWewe unapenda nywele bandia ?
Unapenda ndevu??Ulipogusia ufugaji wa ndevu
Umenipa mfarakano wa nafsi. Sijui lini ndevu zitaanza kuota kwangu
Shem darling naww kumbe unazo😂😂😂weee hebu tuache na ndevu zetu, heshima ya mwanaume.... nyie zenu za bandia sio dili baby shem
Wewe nina shaka hata kope zako bandia
Kuna wengine wanajaza marangi rangi usoni na mdomoni wanakuwa kama yale madaladala ya Nairobi sijui wanayaita matatuu...!
Unakutana na kama hili hahahahahMkuu tuko pamoja hata mm hiyo minywele nakereka nayo sana kiukweli.
ngoja ntakutumia picha PM UONEShem darling naww kumbe unazo😂😂😂
Fanya hima tafadhali😀ngoja ntakutumia picha PM UONE
Mkuu kwni siku izi mnatombea kichwani au kumani nako kuna maweagiNatamani wanawake wangefahamu kuwa katika vitu ambavyo Asilimia kubwa ya wanaume tunachukia kutoka kwao ni nywele bandia, asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili
Ikiwa sisi hatuvutiwi na miwigi yenu mwavaa kumvutia nani?