Wanawake na nywele bandia

Mkuu tuko pamoja hata mm hiyo minywele nakereka nayo sana kiukweli.
Unakutana na kama hili hahahahah
images-3.jpeg
 
Shida yangu pale zinapoanza kuwasha utakuta mwanadada ameingiza kidole anakuna kichwa kanogewa hadi kajisahau. Kwa muonekano wa kiafrika unavutia zaidi wa asili. Mungu alivyowaumba alikuwa anajua . Be proud of yourself .Alinifurahisha sana Mseven alivyomchana Miss Uganda kuhusiana na zile nywele fake.
 
Natamani wanawake wangefahamu kuwa katika vitu ambavyo Asilimia kubwa ya wanaume tunachukia kutoka kwao ni nywele bandia, asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili
Ikiwa sisi hatuvutiwi na miwigi yenu mwavaa kumvutia nani?
Mkuu kwni siku izi mnatombea kichwani au kumani nako kuna maweagi
 
Back
Top Bottom