Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,186
- 8,212
Natamani wanawake wangefahamu kuwa katika vitu ambavyo asilimia kubwa ya wanaume tunachukia kutoka kwao ni nywele bandia.
Asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili. Ikiwa sisi hatuvutiwi na miwigi yenu, mwavaa kumvutia nani?
Asilimia kubwa ya wanaume huvutiwa na nywele asili. Ikiwa sisi hatuvutiwi na miwigi yenu, mwavaa kumvutia nani?