Ground Zero
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 342
- 95
Wanajf,
Natumaini weekend imeanza vyema. Kwa hivi karibuni nimekuwa nikifanya utafiti binafsi juu ya mahusiano nikagundua kwamba wanawake, hasa wanachuo wanadanganyika sana kwa sababu wengi wapo tayari kuanza mahusiano mapya tu ilimradi ataahidiwa ndoa. Wengi wanapoingia vyuoni wanakuwa na marafiki ambao ni agements wao lakini baada ya hapo huanzisha mahusiano na watu waliowazidi hasa kiumri kwa matumaini ya ndoa. Hili limechangia wengi kupata mimba, hasa finalists wakidhani ni security kwa hao wapenzi wao lakini baadaye huachwa wakilea watoto. Je huu msukumo wa wanawake kupenda ndoa ni wa kijamii or is it by nature. Binafsi sijaoa na nimegundua kwamba girl f( nampenda na namjali sana) wangu anapenda sana ninapomgusia mambo ya yeye kuwa mke, mama watoto,
Je kwa mtindo huu wa kupenda sana ndoa udanganyifu kwenye mahusiano utaisha?
GZ