Wanawake na maradhi ya urembo inasikitisha sana

Mengine unayaacha yapite tu meenzangu...
Sipati picha ya ya seke seke la chumvi huko kunako...
Unaweza ukaanza kucheza inde monii na kuimba kuchina.....

Kweli mwezangu ngoja niyaache...
 
Heh, leo Ritz kaingia MMU? Nilishazoea kumwona kwenye siasa tu!!!!
 
Last edited by a moderator:
Nasikia una genye balaa unaweza kubaka majirani ngoja nikipata Wangu nitajaribu

Usikute tunamkomaza sister........bado mdogo.......
mchai we utumie tu hata kujiswafi ila ndio kama hivyo tena.........unatembea huku unakata..........chezeya mchaichai wewe...........
 
Last edited by a moderator:
Halafu Ritz........huyo anayefanya threading kuna tatizo gani umemuweka.....?.....wa kope tumeelewa.....na huyo wa nyusi......?
 
Last edited by a moderator:
sasa shida zote hizi za nini?? mwanamke akiwa mrembo sana anakua mbaya au hamjui!!!! na kuoa mwanamke mrembo ni janga la ndoa... acha nibaki na natural wangu nyie jiwekeeni ma supa glu mpaka mdomoni...na mtakua vipofu sana!!!
 
jamani jamani
pole yake.

supa glue kwenye kucha, supa glue kichwani, supa glue kwenye macho... mbona balaaa hili.
 
Usikute tunamkomaza sister........bado mdogo.......
mchai we utumie tu hata kujiswafi ila ndio kama hivyo tena.........unatembea huku unakata..........chezeya mchaichai wewe...........


Kwa haya mliyoyaongea bado ni mdogo....haa
 
Last edited by a moderator:
ishu hapa ni ignorance zaidi

sawa na wale wanatengeneza mkorogo huku hawajui ni sumu gani wanazi changanya



Mwenzangu hao ndo wananishangaza


Siku zikiwadhuru sijui watajua ni sumu gani imesababisha madhara

Maana kila kitu kinachanganywa humo
 
Hiyo picha ya pili umefeli
Hiyo ni threading ya nyusi.
Mada nzuri anyway.
 
MNAHANGAIKA NA NIIIIINI?

hapo bado mkorogo anaopaka haujaanza kubabuka!
hakyanani kuna vitu wacha tu vinifanye nionekane sikwendi na mafasheni!
hizi mambo za kope kope hizi sijui nywee za kubandika sijui wanaita nini sijui za kuvaa kikofia chini na gunDi juu af unapanga nywele !ehehehehhehhe HUWA NAWAANGALIIIAAAAAA NABAKI kucheka tu!KWANZA MNATUMIA HELA NYINGI!
PILI NI HATARI KWA AFYA ZENU
TATU HAZIWAPENDEZI MNAKUWA KAMA VIPAKA VYA KWENYE KATUNI
NNE HAMKUWI NYIE
aaargh bana eeh pengine ndo mnasifiwa na hao washika dau!
 
Back
Top Bottom