Tukiangalia kwa uhalisia wanawake wao wamepiga hatua kuhusu swala zima la mabadiliko ya hali ya hewa hasa kuhusiana na swala zima la mavazi hebu tuangalie Picha hii!!
If the trend continues, by 2015 there would be NOTHING to put on the lines!!!!!
hoto: Kweli kabisa, hujakosea. Tena hizo za kamba ukijaribu utatamani kuendelea nazo hata kwa sie old school. Labda tutarudi kule tulikotoka. Hujaweka miaka kabla ya karne ya 18 ilikuwaje. Wakati wakivaa kuziba mbele tu. Daaah! Nimecheka sana nyie watu mna vituko saa zingine.
Mbona miaka hii kuna wanawake wameshaanza kuvaa suruali za jeans za kubana bila hata kufuli ndani, wapo kabisa, Mi kuna mmoja namjua alikuwa ana tabia hiyo, but sio mara nyingi alikuwa anafanya hivyo, sijui ni huyo jibaba lake la kizungu lilimfundisha au aliamua mwenyewe tu kujiachia hivyo sometimes.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.