mwanaMtata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2014
- 2,393
- 1,432
Hivi dada/mama kama huyu zamani anakua ndo kajiharibia kabisa na hata kama ana ndoa anaweza kuachika. Skuizi anakua superstar. Kesho kutwa utaskia kafanywa video queen
Tunakoenda wapi ee Mola
update...
Huyu dada ni staa maarufu huko South Africa, anaitwa ZONDWA WA BANTU.
anasifika pia kwa tabia ya kutovaa kifuniko cha asali