Wanawake muwe mnatukataa kweli kweli

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,547
44,699
Unakuta mwanamke anajua kabisa anatongozwa atatoa namba atapenda mchati lakini ukimwelezea shida yako anakukataa..sasa mnataka mazoea ya nini mtu kama humtaki si u mblock tu au umtukane ajue uko serious ..sasa unakuta mtu anakuchekea chekea afu ukimwomba zaga anakuletea story nyeusi..kama kuna huyo demu wangu nimemkuta na meseji za mwanaume anamwomba mechi nimemuuliza demu ananiambia eti jamaa anamtaka..sasa ishu inayotakiwa ni kwamba kama humtaki mtu usichati naye usisubiri kuona anavyokutongoza we mkaushie tu..habari za kupenda penda ubest na wanaokutaka ni za kiwack.jitegemeeni
Kijana nimemaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumkataa mtu siyo lazima umtukane yakupasa kutumia busara na hekima matusi kejeli kamwe siyo ustaarabu mbele ya jamii
kuchat na mtu sidhani kama kuna ubaya coz ndo mwanzo ww kufahamiana na mtu pia kujenga connection na watu mbalimbali
ishu ni kuwa na msimamo na kufahamu unataka nini maishani mwako (hii inategemea na tabia ya mtu mwenyewe )ni maoni yangu tuu
 
Back
Top Bottom