Wanawake muolewe na wanaume wenye nyumba tayari

nilioa nikiwa napanga chumba kimoja; yote niliyonayo nimeyapata nikiwa na mama Akanganyila.
 
Khaaaa!! Labda huko nyumbani walikua wanaongeaga kilugha na baba ake. Lol! Na mume mzungu sijui habari zinakuaje sasa.
 
....laiti ungejua mwanamke akishiriki katika maendeleo ya familia anavyopata heshima na kudhaminiwa....
Mimi nafaham dada mmoja ya kule moshi aliyekuwa na msimamo kuwa, mwanamme mwenye kila kitu yeye hamuhitaji na alitimiza lengo lake..yeye anakazi na aliolewa na mwanamme mwenye kazi ....walishirikiana wamejenga, wanausafiri nk maisha yanasonga kwa raha zao.
"kwa psychologia ya ujumla, wanaume wenye kila kitu hawaoni dhamani ya mwanake ndani ya nyumba tofauti na kuwachukulia kama chombo cha starehe"...
Nenda migodini utawapata unaowahitaji..ila jiulize mtakuwa wangapi na kwa muda gani????
 
Utamu wa ndoa ni kujenga maisha pamoja. Not necessarily from zero, lakini si lazima uingie ukute kila kitu ni "move-in condition". You need to be able to stand on your on two feet as a woman, even if the man is the head of the household. You also sound a bit materialistic, as not everyone on this planet can afford a house and car prior to marriage. These shouldn't be things you look for in a mate.

Honeybee unaniangusha bwana hapo ktk red!, ushaambiwa a men...lol!, but N'wayz back to the thread. Am not sure which audience she's targeting geographically cause where I reside I dont necessary need a car so I wont mind for someone who dont have a car but you said it well, as for me am used to working my ass off in pretty much everything I do and be the best, so I wont mind for someone who's not "Perfect material wise" and we work together in achieving all that afterall I get bored to just sit around doing nothing unless its intentionally.
 
Hahah Kui, my bad! Kumbe ningeandika hivyo hivyo :glasses-nerdy:.

Yeah I don't need a car where I am either, maybe in the near future but not now. Kwa sasa it's easier kuchukua bus au treni. Tena nina driving test next week. Nikipata leseni by next year ndio ntaanza kufikiria mambo ya gari, but for now they seem like a pain. Anyways, hii mentality ya kutafuta mwanamme aliechakarika kutafuta kila kitu halafu unakuja kuingia at the last minute itawapeleka watu pabaya. The beauty of sharing your life with someone is experiencing the ups and downs of life. You learn to appreciate someone that was with you when you didn't have anything, because you know if something happens and you lose it all they will be right by your side.

We both work very hard. Kwa sasa niko maternity leave, lakini kuna wakati nilisema ntaweza kuwa house wife.. Sahivi nasema NO WAY! Napenda kufanya kazi, napenda kuwa na uwezo wa kujinunulia ninachotaka na si kuomba mpaka pesa za underwear. I like my independence, and I like to do my part and bring my share to the table. I believe in being a good example to my children. Sitaki watoto wanione kama pambo nyumbani. Eventually watoto watakua, wataondoka nyumbani, what's next after that?? Hayo si maisha bana.

  • Thanks
Reactions: kui
haya ndio matatizo ya kuzaliwa katika familiya za kichovu...kisha uliposoma na watoto familiya zao zinajimudu...ukapata marafiki wakikukaribisha kwao...unakula na kijuchangaya nao...wakipelekwa beach...na sehem za raha...ukijihisi unafaa kuwa kama wao.
Sasa unakuja JF kuwatafuta wenye nazo...
Utakula huku ulishaliwa...na siku moja unaachwa vile vile.
Tena wadada aina hizi wapo hata huku Canada.....swain tu!
 
dada yangu usidanganyike mbona sisi tumezaliwa kwenye family ambazo baba hakuna na gari wala nyumba ila mama akampenda baba na wametulea tumekuwa kwenye family ambayo tumeona wazi upendo wa baba kwa mama na upendo wake mama kwa baba walipoona hawawezi jenga na kununua gari ikabidi walipie watoto ada za shule na ndio hao watoto leo wana run mijin na magari mazuri na majumba amnayotamani na ndiyo hao waliowatoa wazazi wao mashambani na kuwaleta mjini so maisha hayana formula
 
Natalia wala ucpate shida kutafuta mume mwenye hela cha mcngi na cha secondary wewe funga ndoa na bank tena Bacays ndo npango mzima
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: kui
mutakaa sana kusubiri hao wenye nazo badala ya kutafuta mume mwema munataka mwenye pesa ili mukaziletu.mutaishia kumegwa nakuachwa
 
....laiti ungejua mwanamke akishiriki katika maendeleo ya familia anavyopata heshima na kudhaminiwa....
Mimi nafaham dada mmoja ya kule moshi aliyekuwa na msimamo kuwa, mwanamme mwenye kila kitu yeye hamuhitaji na alitimiza lengo lake..yeye anakazi na aliolewa na mwanamme mwenye kazi ....walishirikiana wamejenga, wanausafiri nk maisha yanasonga kwa raha zao.
"kwa psychologia ya ujumla, wanaume wenye kila kitu hawaoni dhamani ya mwanake ndani ya nyumba tofauti na kuwachukulia kama chombo cha starehe"...
Nenda migodini utawapata unaowahitaji..ila jiulize mtakuwa wangapi na kwa muda gani????
duuuuh dongo hilo jiulze mtakuwa wangapi na Kwa muda gan Kwa hyo wale walionao hayo mambo safi imekula kwao?
 
Kama wanawake watakuwa na mawazo haya basi watabaki kuwa watumwa wa mapenzi mpaka mwisho wa nyakati.
Mimi na wife wangu tumefunga ndoa last year, tukiwa from zero na madeni kibao lakini hadi sasa tunamiliki gari moja la ukweli ambalo tumenunua kwa hela tuliyotafuta wenyewe, na tunamiliki shamba la ekari 4 viwanja vinne vyenye kubwa wa ekari 3 na robo. Viwili vipo Songea, kimoja Morogoro na kingine Pwni sasa hivi tumevipata kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu tu. Hivyo mwanamke ondoa hiyo mawazo maendeleo ya kushirikiana ni bora zaidi kuliko ya mmoja. Huu ni uzoefu wangu
 
Shikamoo magari, nyumba na pesa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hahah Kui, my bad! Kumbe ningeandika hivyo hivyo :glasses-nerdy:.

Yeah I don't need a car where I am either, maybe in the near future but not now. Kwa sasa it's easier kuchukua bus au treni. Tena nina driving test next week. Nikipata leseni by next year ndio ntaanza kufikiria mambo ya gari, but for now they seem like a pain. Anyways, hii mentality ya kutafuta mwanamme aliechakarika kutafuta kila kitu halafu unakuja kuingia at the last minute itawapeleka watu pabaya. The beauty of sharing your life with someone is experiencing the ups and downs of life. You learn to appreciate someone that was with you when you didn't have anything, because you know if something happens and you lose it all they will be right by your side.
We both work very hard. Kwa sasa niko maternity leave, lakini kuna wakati nilisema ntaweza kuwa house wife.. Sahivi nasema NO WAY! Napenda kufanya kazi, napenda kuwa na uwezo wa kujinunulia ninachotaka na si kuomba mpaka pesa za underwear. I like my independence, and I like to do my part and bring my share to the table. I believe in being a good example to my children. Sitaki watoto wanione kama pambo nyumbani. Eventually watoto watakua, wataondoka nyumbani, what's next after that?? Hayo si maisha bana.

Yap! yap! gal!, when you share the ups and downs your love become even stronger and unshakable cause you have strong roots underneath but kupendana kwa material things, dunia hadaa, mostly likely zikiondoka na love inaondoka and by the end of day finally uzeeni... and also last time I checked when you take an oath before God and all the Witnesses in church to be with someone FOREVER, it's FOR GOOD OR WORSE, IN SICKNESS AND IN HEALTH!
Sasa hizi ndoa za siku hizi za kupendana kwa material things sijui inakuwaje...ndo yaleyale ya HAPENDWI MTU! kinachopendwa ni gari au nyumba ya mtu...what a shame!
Destiny's child sang, I own the house I live in, the car am driving and the thong am wearing....
 
Back
Top Bottom