Wanawake muolewe na wanaume wenye nyumba tayari

Mama yangu alikuwa katibu mkuu sasa hivi yupo juu zaidi baba Angu msiseme.mwanaume wangu eminikuta juu Inabidi ajitahidi.otherwise he is out
 
Hahhhaaha...thread zako tu mi hoooi. Ila nishakuelewa kivyovyote vile upo kifedha zaidi.
 
thread zake huwa hazieleweki mpeni msaada yaani yeye ni hela tu juzi kati kaja na ile kuwa hamtaki asie na hela
 
Kila mtu akijenga sie wenye nyumba za urithi tutampangisha nani??

Nina za urithi hakai mwanaume asie na pesa you need money to maintain big houses.mwanamke pesa babu .zangu naweka bank amenioa na inabidi anilee kama mtoto wa Katibu mkuu aliwaPromise wazazi wangu ok
 
Nina za urithi hakai mwanaume asie na pesa you need money to maintain big houses.mwanamke pesa babu .zangu naweka bank amenioa na inabidi anilee kama mtoto wa Katibu mkuu aliwaPromise wazazi wangu ok

Usitumiee peesa, kama fimbo mamaa
Mambo ya pesa hutaka makubaliano
Hapo ndipo pesa huwa na thamanieee

Mie nauliza,

Prenup inahusika?
 
Back
Top Bottom