Wanawake muelewe hili, wanaume wana maumivu pia, tena yenye huzuni karibu ya kifo

Kunguru wa Manzese

JF-Expert Member
Apr 20, 2016
7,771
2,000
Jamani!! kuwakumbusha wajibu wenu siyo maneno machafu! niombe samahani!! aliye sema ''mtakula kwa jasho lenu'' .... siyo mie!.. mnamjua fika!!.....kosa langu mie nini?? hadi unihukumu ivo?? usijitoe ufahamu???...na bado..

kazi yangu mie ni kuzaa kwa udhuungu!! baasi!! mbona hunihurumii?? mkuu usikwepe, Beba zigo lako babu!! hata usemeje hkn unafuuu!! ndo unajirogaaa!...jitahidi uwezavyo upende kazi hata za hovyo weye fanya tu! ili mradi dumekazi.

kwanza! dume Hutaki fanya kaziiii '' Rhuksa kwa sirikali olewa!! saabu mnamatumizi mbili Front side na Back side? ni me' wengi tuu walioshindwa kazi wanageuzwa!! lengo ni ili upewe Km mie navopatiwa!! km unaona wivu navopewa!!!

Onyo tu! nisijue kuwa kunguru wa manzese anashikishwa!...nikijua utayamba kifukuto!
I got boner baada ya kusoma haya maandishi huku nikikutengenezea imagination haya maneno ukiyasemaAnyway umeongea point na wala usichoke kutuelimisha bibie smaki
Ni kweli ni wajibu wetu
 

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,995
2,000
Mkuu unaonekana una stress sana Juu ya wanaume kuchepuka hehehee,,,, Comment zako ziko opposite sana na maada husika...

Vipi nini kimekupata Bidada..??? Kijana mwenzetu amekuacha kwenye mataaa au.....

Nimeuliza tu.Your perception may not be my reality!
 

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,995
2,000

Attachments

  • IMG_4202.jpg
    IMG_4202.jpg
    336.5 KB · Views: 4

kelphin kepph

JF-Expert Member
Dec 24, 2019
5,359
2,000
Weeee! watoto wanililie!! ....... na zee zima!! lenye mindevu kila mahala nalo lini lilie!!! mweee! ntakupiga mitama ukalilie huko mbele vizuri!!....tafuta pesa nile na watoto Nyambaf!!! nacho fanya mie nikukuombea tuuu!!

km huwezi kwanini uliwowaa?? au laa acha niache nisepe zangu uone km ntakufa !!...mnajifanya kuwowa kuumbe hamana kitu!! kaa ivovivo!!

Aise
 

Jay10

JF-Expert Member
Jul 9, 2018
558
500
Kwa mfano leo na kila wakati nikikumbuka nilipojulishwa na mwanamke niliyelea nae mimba had mtoto kwa miaka kadhaa kabla sijaoa ...huwa nalia sana lakin sijawah kumwambia wife na hajui kabsa kama huwa nina maumiv makali sana moyon....
 

ERoni

JF-Expert Member
Jan 9, 2013
32,514
2,000
Kwa mfano leo na kila wakati nikikumbuka nilipojulishwa na mwanamke niliyelea nae mimba had mtoto kwa miaka kadhaa kabla sijaoa ...huwa nalia sana lakin sijawah kumwambia wife na hajui kabsa kama huwa nina maumiv makali sana moyon....
Alikujulisha nini hadi uumie na kulia mkuu?
 

Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,995
2,000
Be that as it may.

You are stressed.Panua wigo wako wa kujifunza na kuelewa mambo,

Sasa nikuulize Kwani mtu kuwa stressed ni ajabu kutokea ?

Kwamba wewe kwenye maisha yako hujawahi kuwa stressed na wala hutarajii kuwa stressed?

Ni mtu mwenye wazimu tu ndio anaweza kutopata stress kwenye maisha yake yote sababu yeye anaishi ilimradi tu kuche kuchwe.

Mtu yeyote mwenye akili timamu mwenye malengo ni kawaida kupata stresses pale ambapo malengo alotarajia hayajafikiwa kwa wakati.

Wanapata stresses wafalme , maraisi, matajiri wa Dunia kina Bill Gates , wafanyabiashara , n.k.

Mpaka hapo unasemaje labda ?

Kwani nimekufanyia personal attacks labda? Ili nikuombe radhi iwapo nimekutusi labda au ?

Ijapokuwa najua sijuagi kutukana wala japo kusonya sijuagi ktk maisha yangu yote.

Atukuzwe Mungu Kwa Neema hiyo Kwa kweli!

Mimi nimechangia mada in a general context and overview,

Sijamu - attack personally mtu yeyote, wewe pilipili zikiwa shamba zinakuwashaje uliepo mjini Kwa mfano?

Badala ya kuchangia hoja kwenye mada wewe upo kuhusudu wanaochangia mada?!

Chunga chungio bibi mimi si mke mwenzio

Yatakushinda!

Nakustahi sana.
 

Nas Jr

JF-Expert Member
May 15, 2018
7,228
2,000
Panua wigo wako wa kujifunza na kuelewa mambo,

Sasa nikuulize Kwani mtu kuwa stressed ni ajabu kutokea ?

Kwamba wewe kwenye maisha yako hujawahi kuwa stressed na wala hutarajii kuwa stressed?

Mpaka hapo unasemaje labda ?

S I S E M I
 

Jorge WIP

JF-Expert Member
Jul 12, 2018
1,591
2,000
hiyo inaitwa kuwa sensitive ambapo wanaume wa africa na dunia in general tumekuzwa kuwa insensitive. “Hata upitie shida gan pambana na hali yako No crying” baba zetu wametukuza hivyo

Niliishi hivyo ila baada ya msiba wa mtu wangu wa karibu nililia in public wakawa wananifariji, nilijiskia nafuu kulia kunakupa relief. Since then hata nikiona Movie emotional machoz yanatoka maisha haya haya tuishi kwa amani tu
 

BATTO

JF-Expert Member
Feb 7, 2014
262
250
Unakaa kimya ili kuepusha sintofahamu hii kutokea hadharani simultaneously:
Mama: wui-wui-wui- wui....
Baba: Woi-woi-woi-woi....
Sasa nani amsaidie/amliwaze mwenzake? Huoni itakuwa ni kituko?
Hata inapotokea msiba ; Mwanaume unakalishwa chini na neno la kwanza unaambiwa "Jua/Tambua kwamba wewe ni mwanaume". Halafu ".........Baba yako au Mama yako umpendaye sana hayupo nasi tena". halafu wanakuangalia usoni kuisoma reaction yako baada ya sentensi hiyo.
Upo sahihi mkuu pia Mama zetu wanatukuza katika misingi ya kuvumilia tangu tukiwa wadogo..mfano unaweza ukadondoka na ikauma kweli ukianza kulia utasikia jamaza wanaume hawalii au utaambiwa jikaze we si mwanaume hata aiumi, au usilie kama wanawake..hivyo basi hii misingi tunakuwa nayo pia kujikaza kwetu ni asili yetu kwani tumeumbwa kuvumilia..mwanaume alii ila anagugumia.
 

Mine eyes

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
6,047
2,000
Kwa mfano leo na kila wakati nikikumbuka nilipojulishwa na mwanamke niliyelea nae mimba had mtoto kwa miaka kadhaa kabla sijaoa ...huwa nalia sana lakin sijawah kumwambia wife na hajui kabsa kama huwa nina maumiv makali sana moyon....
Mkuu hapo hujaeleweka au ni.mimi ndio sijaelewa?

Fafanua mkuu.. ...

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 

smaki

JF-Expert Member
Jan 23, 2019
3,326
2,000
Ndiyo!! wamezidi kulegea watoto wa Mama hao!!! na hao!! hao!! ukichunguza saaana Baba zao au babu zao ndo waleee walioIkimbia vita ya kagera!!...Wakawasusia wakurya na wahehe!.....sasa wanakuja kivingine! hawajui kukomaa na kazi!! kwa nini wasiuze mayai tu! km wakurya??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom