Wanawake mnavyotusevu kwenye simu

Nkolandoto

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
3,565
3,063
Kuna siku nipo kwny foleni bank simu ya mdada mbele yangu ikaita jina limetokea Lifemate nikasema kama ndio demu wako ukimhoji anakwambia huyu mfanyakazi wa pale Lifemate furniture


Humu kuna vitu vimefichama
 

Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
37,503
85,223
Nakusave jina lako kama unavyotambulika na Serikali ama la sikusave kabisa. Wa JF ndo naandika mbele JF. Ila mtaani aaah boss nakusave kama serikali tu
 

Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
57,456
112,171
Huwa nasave jina la mtu...hata kama ni member wa jf namuandika jina lake na sio Id ya humu labda atake yeye
 
3 Reactions
Reply
Top Bottom