WANAWAKE MNAPELEKAGA WAPI PESA ZENU

  • Thread starter Bobdizo Mohamed
  • Start date
B

Bobdizo Mohamed

New Member
Joined
Sep 5, 2019
Messages
1
Points
20
B

Bobdizo Mohamed

New Member
Joined Sep 5, 2019
1 20
Nimekaa nimewaza sana ivi wanawake pesa zenu mnanunuaga nini OK ngoja nitoe mfano kwamfano mwanamke ameolewa Na anafanya kazi Na anapata mshahara Lakini utakuta Hela ya kodi ya meza ni mwanaume mafuta kwenye gari ni mwanaume shopping ni mwanaume kila kitu ni mwanaume huwa mnanunua nini au mnafanyia nini pesa zenu
img-20190905-wa0040-jpeg.1200058
 
miss_blossom

miss_blossom

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
1,469
Points
2,000
miss_blossom

miss_blossom

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
1,469 2,000
Unajua majukumu ya mwanaume ndani ya nyumba?
 
Msweet

Msweet

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Messages
1,696
Points
2,000
Msweet

Msweet

JF-Expert Member
Joined Mar 26, 2014
1,696 2,000
Tunajenga makwetu.....!!!!! Hi hi hi hi hi hi hi!!!!!
 
J

jayde

Member
Joined
Nov 17, 2018
Messages
51
Points
95
J

jayde

Member
Joined Nov 17, 2018
51 95
Inategemea najinsi mlivyokubaliana au jinsi ulivyomzoesha huyo mwenza wako.Na hiyo kodi ya meza haipo kwa kila nyumba,mf baba analipa ada za watoto,anajenga ,analipa kodi ya nyumba.Mwanamke anahakikisha familia inapata chakula na mahitaji mengine.Hakuna kodi ya meza na maisha yanaenda.
 
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Messages
16,031
Points
2,000
Vladimirovich Putin

Vladimirovich Putin

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2017
16,031 2,000
Ndio maana katika kuoa SITOANGALIA KAZI WALA ELIMU KUBWA YA MWANAMKE....kwa sabab hata ukiviangalia, bado mchango wao kuhusu maisha ni mdogoo nabado anakupa tabu za ujuaji ujuaji na haki sawa .


hawa wameumbwa kuzaa !!!
 
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2013
Messages
791
Points
1,000
CHIEF WINGIA

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Joined Jul 12, 2013
791 1,000
Kununua nguo, viatu na mapambo bila mpangilio.
Hivi sijui akili zao zipoje yaani unakuta mwanamke kabati la milango 3, begi kubwa 2 yamejaa minguo yake na nyingine wala hajawahi kuzivaa halikadhalika kwenye shelfu ya viatu tena ile ya ngazi 7 imejaa viatu vyake tu lakini still akiona nguo/viatu huko road yeye anaendelea kununua tu.

Tukija kwenye michango ya harusi sasa hapo hadi nina waoneaga huruma yaani unakuta mtu kila mwezi anaratiba ya kuchangia harusi, kitchen party, send off n.k.

Wengine pesa zao zinamalizika kwa babu bagamoyo kuroga madanga yao.
 
Kokontinko

Kokontinko

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2013
Messages
13,800
Points
2,000
Kokontinko

Kokontinko

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2013
13,800 2,000
Namalizia kusoma kitabu kinaitwa..."Understanding the woman deep,down-under"...!Kuna kurasa 123456789 ndiyo nipo wa 2.Ntarudi kujibu.
 

Forum statistics

Threads 1,334,516
Members 512,012
Posts 32,478,792
Top