Wanawake mnaoshinda mnajipodoa na kuperuzo JF muda mwingi mnayaweza haya?

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Haya ni mashindano ya kuendesha baiskeli huku kichwani umebeba chungu. Ukimaliza bila kuangusha chungu basi wewe ni mshindi.

Hii inawezekana tu kwa wanawake wa mikoani. Nadhani wale wanaoshinda kujipodoa tu muda wote wakiona haya mashindano watashangaa wakidhani ni uchawi kumbe ni mazoezi tu.


Mwanajamiiforum hali ikoje kwa wanawake wanaojiita wa Dar na wanaoshinda kujipodoa na kuweka muonekano kama majini kwenye sura zao? Wanaweza haya?

Maoni yenu wakuu;
Cc:sky eclat
Cc:Evelyn salt
Cc:Niffah
Cc:Valentina
Cc:Rebecca
Cc:monica
Cc:espy
Cc:miss mbuja
Cc:Et all
 
Wanawake wa mjini wako bize na foleni za mjini, wanaendesha magari ya bei kubwa sio vibaiskeli
 
Hao walugaluga njaa tu zinawasumbua,sio kwamba hawapendi kujipodoa,tatizo hela na upatikanaji wa hivyo vipodozi,maana unaweza kuwa unataka mascara ama water proof make up,sasa hapo kijijini nyamwilo utazipatia wapi hizo mambo.Waacheni wadada wamjini wajipodoe kwa raha zao.
 
Sio kila kitu mtu aweze. Ata huko kijijini kuna watu hawawezi ata kunyonga hizo baiskeli
 
Watu na fani zao bwana, kwakweli wana kipaji, haya yangeweza kuwekwa kuwa mashindano ya Olympic.
 
Watu na fani zao bwana, kwakweli wana kipaji, haya yangeweza kuwekwa kuwa mashindano ya Olympic.
Wazungu hawawez hawana competence kwa hiyo hawathubutu.

Hii kitu ingeanzia kwao wange include kwenye Olympic
 
Back
Top Bottom