Wanawake mnajisikiaje mwenza wako anapokuwa hakushirikishi chochote?

Tumeambiwa tuishi nanyi kwa akili unakuta mwanamke unamwambia kuna kiwanja unataka kununua hata hujalipa kashaanza visa kwa mama mwenye nyumba na kuposti kwenye group lao la mtaani kwaherini tunaamia madale
Wakupimwa huyo
 
Ukiona hivyo kuna mwenzako anashirikishwagaa ahahahahah
niwe mke nisijue labda sio mama sabrina
Halafu chakushangaza wakifulia wake zao hao waliokuwa wakiwaficha ndiyo wanakuwa msaada kwao,
nikwambiavyo huyo mama kama hajafanya vibiashara vyake hawajala sasa hayo si mateso jamani!
 
Huwa natumia muda mrefu kumsoma mtu na kuangalia kama inafaa kumuambia mambo yangu haijalishi nalala nae au tunapeana raha kiasi gani...Sio kwa ajili ya papuchi tuu ndio nikwambie mambo yangu yote kwangu mimi haipo hivyo.
Papuchi ni kiungo
Maisha ni uhai.
Mkuu wengine inakupasa uwashirikishe tu

tapatalk_1525271841263.jpeg
 
Tatizo mkiambiwa nina mali kazaa nazimiliki mna kuwaga mnaongeza mapenzi nikifilisika mna sepa kwavile mali zime potea bola kupiga kimya kama unashidazako sema nakutimizia tukioana ntaanza kukushilikisha
 
Tumeambiwa tuishi nanyi kwa akili unakuta mwanamke unamwambia kuna kiwanja unataka kununua hata hujalipa kashaanza visa kwa mama mwenye nyumba na kuposti kwenye group lao la mtaani kwaherini tunaamia madale
Hahahahaah
 
Hamtabiriki so watu wanaogopa kuwatambulisha....unatambulisha kesho mmetemana
 
Kujiamshia tu kisukari kilicholala maana matokeo utakayokuja kukutana nayo mbeleni hutaamin,afu saa hiyo we ndo umekolea penzini hatari
Uvumilivu kiwango cha sabuni huku unaisha huku nguo zina takataka, ni afadhali ukatoka mapema
kuliko umeshaingia miguu yote na mikono kumbe umeingia chaka
 
Back
Top Bottom