Wanawake mnachotufanyia Insta Mungu anawaona

Acha ushamba wewe, inaonekana umeanza kutumia Insta sio muda baada ya kutoka huko FB kwenu!!
 
Kuna jamaa yngu alichat na mchuchu uko fesibuk siku wamepanga kuonana jamaa alishangaa alichokutana. Demu mpana huku juu km baunsa hlf chini mweeembamba wkt picha zake aliweka mwili wa kawaida tu. Zile picha zilikuwa za yule demu ila ni za miaka 10, 15 au 20 iliyopita.
 
Mabaria wenzangu tuwe makini sana narudia tena tuwe makini sana nakazia tena tuwe makini sana na hawa mademu wa Insta.

Last week nilipata demu 1 huko Insta bhasi bhana tukaanza chats kwa kasi sana nikaomba ku-meet nae akakubali aisee yule dem alikua anaonekana ni kisu hatari, yani nilikua muda wote nafungua insta ili niwe naona picha zake, haipiti muda nafungua tena kumpimia kimoyomoyo nafurah nitanyandua chombo.

Yule demu alikuwa anaonekana ni kisu balaa rangi ya chocolate, umbo yaani ukimwona Insta lazima upagawe shepu kama za kinyarwanda me nilidata asee. Kimbembe siku ya kumeet naye live niliishiwa nguvu so kwa kazi mbovu ile.

Kwanza najuta kumwita demu sehem classic kama ile watati yeye ni hovyo, demu alikuwa ni hovyo hatari kumbe anaedit picha aonekane mzuri kumbe hamna kitu, ilibd nimwulize ni wewe, sikuamini kabisa daah nilihisi naota wallahi, jana sijaamini kabisa na nilichokutana nacho. Demu nilikuwa namwona ni tofauti na live hana tako yani mwembamba hatari shepu hana hovyo.

Ukipata demu insta usitegemee kumwona vile unavyomwona humo ni vituko sana hawa watu ukiwaona live.

Acha niishie hapa tu.
Weka picha
 
Kuna dada tunaishi nae mtaani, daily tunapisha na kusalimiana.

Halafu kuna dada nimem-follow insta, daily na like picha zake na comments fupi fupi "beautiful", "gorgeous" etc. Huyu dada ni mrembo haswa, melanin imetulia, shape sasawa, anapiga picha sehemu za matawi ya juu. Mara kadhaa apige anatoka apartment safi hivi ghorofani etc

Kwa zaidi ya miezi sita sikujua kuwa hawa wadada wawili ni mtu mmoja. Nilichoka sana asee. Nkaamua kumuomba namba live live mtaani akanipa nikajitambulisha mimi ndio fulani (account ya insta ya biashara haina picha zangu personal hata moja), alichoka na aibu tele akikumbuka mashauzi alonileteaga DM

Filters Fvcked Everything Up
 
We ni msukuma?Basi karibu mjini
 
Mitandao ya kijamii niliyojiunga ni whatsapp, twitter na jamii forum. Facebook ni kama sipo maana mara ya mwisho kuingia sijui ni lini .
 
Kuna dada tunaishi nae mtaani, daily tunapisha na kusalimiana.

Halafu kuna dada nimem-follow insta, daily na like picha zake na comments fupi fupi "beautiful", "gorgeous" etc. Huyu dada ni mrembo haswa, melanin imetulia, shape sasawa, anapiga picha sehemu za matawi ya juu. Mara kadhaa apige anatoka apartment safi hivi ghorofani etc

Kwa zaidi ya miezi sita sikujua kuwa hawa wadada wawili ni mtu mmoja. Nilichoka sana asee. Nkaamua kumuomba namba live live mtaani akanipa nikajitambulisha mimi ndio fulani (account ya insta ya biashara haina picha zangu personal hata moja), alichoka na aibu tele akikumbuka mashauzi alonileteaga DM

Filters Fvcked Everything Up
Hahaha filter zinadanganya mno unaweza hisi kuwa ni watu wawili tofauti .
 
Oy mjubaaa!! Sasa mimi mwenzako nilisoma na dem flan hiv nilikua namuona wa hovyo ila baada ya miaka 4 nikaja kukutana nae insta ni kisu kinyamaaa yan kisu laaana hadi nikashika kichwa,,,,, ila insta kuna filter kule ndo maana madem wote ni wakali ila ukikutana nao live ni hovyo tu
Hahahaa
 
Siku ingine hakikisha unamuona kwa watsap kwanza umsaminishe vzuri kabla ya kikao. Ukiona hataki ujue changa hilo kaa mbali kabisa.
Kabisa whatsaap video call ni kitu cha msingi sana ..kama hautaki kuuziwa mbuzi kwa gunia
 
Back
Top Bottom