Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

Nishikeni jamani nisije ua ntu mie...mie ni anti ccm....Samia atupe vipaumbele wanawake jaman( this is serious)...Heko wanawake tufungue makampuni na sisi tubid hizo tender za serikali...kama najiona napewa tender ya kukarabati karavati na mifereji ya mkoa wa Moro...itabidi wanaume mtafute kasayari kenukwa 4yrs maana mshaanza jiuma uma..mtajuuutraaa!
Hivi bwana mahadware yupo hapo Moro? Mwambie anasalimiwa nami.
 
Hata ningekuwa na miaka hamsini ya kujua kiswahili au english humu JF nitazidi tu kuandika broken yangu na hamna wakunipangia maisha na nitakacho humu
Mimi ntakusaidia kukurebisha na pia akisoma mumeo au mtoto ukijapata atashukuru kujifunza. Sitakudai hata shilling. Nafanya kwa uzalendo tu na mapenzi yangu kwa wananchi nyie wanyonge ambao hamkupata Elimu nzuri
 
Sihitaji kurekebishwa wala wakunisoma awe babu, mume I don't care wee
 
Rais ahakikishe haki zetu wanaume zinalindwa maana wanawake washaanza kutunyanyasa wengine wameanza kutunyima hata mambo ya mahaba tafadhali hili liangaliwe sana.
Nawe mwanaume gani Tena? Kama mkeo anakunyanyasabkisa mama Samia kawa rais piga chini akaolewe na picha ya Samia.
 
Hata wasukuma walisema hivyo hivyo wakati wa JPM, Kuna mmoja aliniambia niache kuwaonea wivu wasukuma eti kisa nilimkosoa rais! Ni kawaida na hawatoachana na hizo fikra Hadi atakapokuja rais mwingine na wataumia kama wanavyoumia wasukuma hivi sasa
 
Leo kuna kagenge fulani ka wanawake walikuwa wanamsifu rais kwa kuvaa viatu vyenge visigino virefu (high heels)... Wanashangaza
 
Mna malengo ya kutudhalilisha.....
ndio maana mm sipendi mwanamke apewe power.....
manake mnaweza kutufanyisha kazi ambazo kiasili sio zetu.....
Mie mwanaume anayejistukia nampenda balaa...yaan atajuta...sasa ww kinachofanya ujistukie ni nn? Hamjui tu..mwanaume atabaki kuw mwanaume nomatter what..uanaume wenu unajua mnaushusha wwnyewe...hivi kwanini mnaomaga mnadhalilishwa? Ohh kama unahis unadhalilishwa si ujitume mara 4 ya mwanMke uwe na hela zako??hehehehe....
 
Wanaume Tuongezewe ulinzi na Tuongezewe asasi z kututetea maana Leo nimeamshwa asubuhi na mapema nmeambiwa nipike chai.. nifue na vyombo nioshe kisa ..Tunaongozwa na Presidaa Mwanamke na hiyo so kitaifa tuu mpaka ngazi ya familia.
 
Wameanza
JamiiForums-1015405305.jpg
 
Nishikeni jamani nisije ua ntu mie...mie ni anti ccm....Samia atupe vipaumbele wanawake jaman( this is serious)...Heko wanawake tufungue makampuni na sisi tubid hizo tender za serikali...kama najiona napewa tender ya kukarabati karavati na mifereji ya mkoa wa Moro...itabidi wanaume mtafute kasayari kenukwa 4yrs maana mshaanza jiuma uma..mtajuuutraaa!
kama walikuwa hawapewi vipaumbele angekuwaje makamu kipindi cha Magu?
Nani alishawanyima kufungua kampuni
 
Kuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana.

Kuna wadada wameandika "hatimaye tumepata Rais wetu sasa" mwingine kaandika "Wanawake tunaweza huu ndo wakati wetu".
Hawana tofauti na yule aliyemshukuru Rais kwa kuleta solar eclipse 2016
 
Sihitaji kurekebishwa wala wakunisoma awe babu, mume I don't care wee
Ntakurekebisha... Utake usitake. Yaani ukosee... Hakafu tuache na watoto wengine nao wawe wanafanya makosa hayo hayo? Ntakurebisha na ukiwa mbishi utapigwa tu.
 
Back
Top Bottom