Wanawake mnachanganya mambo. Mama Samia Suluhu ni Rais wa Tanzania si Rais wenu

mimi kama mwanaume na ona ni neema kwetu maana najua wanawake awapendani cha muhimu cheza na wivu wao unawafarakanisha mpaka raha .binafsi naona wanawake wanashangiriha tu ila mabaharia wenye cheo kikubwa tushandaa mbinu hatari tena niwambie udhaifu wa mwanamke ni wivu hata shetani ndo anahutumia tangu Eden mpaka sasa kuwalaghai -by brigadier
 
Back
Top Bottom