Wanawake mmejaliwa lakini kwanini hivi!!

Nadhani wabakaji ndiyo wataipenda sana hii topic na kuitetea kwa nguvu zote maana itarahisisha mambo goti moja tu mashine ileeeeee chupi haivuliwi tena ipigwa pembeni tu mnamalizana

JAMANI TUMETOKA MBALI!!!!!!!!
 
Kama underskt!!full kujiachia!!wewe unaonaje!

mimi naona sijaelewa kidogo tujiachie wakati gani utembee barabarani umevaa gauni na chupi tu huku wowowo linatinginyika au tukiwa na miadi ndio nivae hivyo ili iwe rahisi kwako naomba unieleweshe
 
mi naona kakakiiza anataka kutukataza kuvaa kufuli ila anashindwa aliseme vipi.
mara kufuli liwe dizain ya gauni,mara oooh hata usipovaa kufuli anda sket inatosha hmmmmmm labda vazi la beach
 
mi naona kakakiiza anataka kutukataza kuvaa kufuli ila anashindwa aliseme vipi.
mara kufuli liwe dizain ya gauni,mara oooh hata usipovaa kufuli anda sket inatosha hmmmmmm labda vazi la beach

hata mi naona anataka hivyo ila anashinda 2 kueleza kwa uwazi
 
Nauona wanwake mnasumbuka wakati mmejaliwa!!Unakuta mwanamke Jeans,Skintite,kufuli vyote vya nini?
Hivi gauni sindo vazi lenu??kama ndo hivyo simnge vaa na kufuli disgn kama gauni??kuliko sasahivi mnavyopata tabu!!na joto hebu badilikeni!!

Wavae Kanyelamumo.......waijua?
 
Natumaini watakuwa wajifunza,Tunatakiwa turudi kama zamani jinsi mila zetu zilivyokuwa.Kama ni nguo wajue kwanini zilivaliwa na zilivaliwa kuhifadhi wapi huo utozi mwingine wauache.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom