Wanawake mlioolewa acheni kulalamika lalamika kwamba maisha magumu

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Wanawake mlioolewa acheni kulalamika lalamika kwamba maisha magumu wanaume zenu hawawapi hela za matumizi wala za mtaji.

Kama mumeo hakupi hela ya matumizi au umemuomba hela ya mtaji kakuvungia, we nenda kazini kwake anza kuuza uji alafu hakikisha watu wote wanakujua kuwa ni mkewe.

Acheni kukaa na kulalamika lalamika tu hakuna mtu atakuja kukuletea mabadiliko, mabadiliko ni wewe mwenyewe.

Cc Zero iq
 
Ni wazo ambalo ni wazo zuri sana, mwanaume akiona ushajiongeza unahitaji kutafuta, kama akili yake ina akili lazima akusuport akutoe kuuza uji
Atakutoa ili tu msipate aibu lakini tayari mtakua mmeonyesha namna mnavyoishi ni kitu cha ovyo sana, kukaa nyumbani kusubiri mumeo akuletee ni udhaifu sana,nenda katafute ajira baadala ya kusubiri mumeo akuletee,kuna leo na keahokutwa mumeo akafariki utaishije wewe na watoto
 
Ajira unaitafuta vipi kama ni darasa la saba, mtaji kakunyima, au ujamwelewa mkuu Zero IQ
 
Kauli za wanawake bwana duh! Eti tunajifunza kazi ili tusihangaike tukija kufiwa na waume zetu. Je sisi wanaume tujifunze nini ili tusihangaike tukifiwa na wake zetu? Hivi kwa nini wanawake wengi mnawaza kwamba sisi wanume ndio wa kutangulia kufa?
 
Back
Top Bottom