Wanawake mlioko kwenye ndoa: Mjifunze kuwaomba unyumba waume zenu

Ila cku hizi wanawake wengi ni wabishi katika ndoa. Ukitaka kwenjoy ndoa kubali kwamba mwanaume ndo kichwa cha familia. Tuwe tunajishusha tu. After all hatupungukuwi kitu. Mwanaume yoyote ukijishusha tayari umesha muweka kiganjani lakini kadri tunavyotaka kushindana nao ndo tuleta distance. Never raise a voice to your man however angry you become. Ukijushusha atakua mwenyewe guilty. Utaona jioni kaja nakazawadi mara namapochopocho kibao. Hakuna mwanaume anapenda kupigiwa kelele na wife
Laiti wanawake wote wangekuwa na mawazo kama yako na kuyaishi kwenye ndoa zao bac ndoa kwa zaidi ya 90% zingekuwa na amani, furaha, upendo na maendeleo pia. Big up
 
Endelea kushan
Tangu enzi za Adam na Eva ( Hawa) mwanaume ndiye anaetakiwa kumuanza mwanamke! Imeandikwa ktk Biblia Mwanzo " ndipo Adam akamjua mkewe na kupata mimba kisha kuzaa! Haya ya kutaka wanaume muombwe mnayatoa wapi? Tatizo ninaloliona hapa ni matokeo ya Kukosa kujifunza (yaani kukaa bila kumjua mwanamke hadi ndoa) na Kukosa kubaki na Mke mmoja maishani! Hii imepekea kuwepo na tatizo la kulinganisha (comparison) kati ya mwanamke mmoja zidi ya mwingine, kumlinganisha Mke wa ndoa zidi ya mchepuko , mchepuko huwa yupo kutaka kuchuna tu Mara nyingi! Acheni kulinganisha Mke na mchepuko ! Kwanza mwanamke kumuanza mwanaume huchukuliwa Kama tabia ya kihuni Kwa wengi maana wahuni (makahaba) ndivyo wafanyavyo! Nashangaa Siku hizi mabinti wanawatongoza wanaume na wengine kung'ang'ania kuolewa na kujitolea mahali wenyewe
Kushangaa ,mambo ya Adam na hawa yanatoka wap huku, kwani Adam na hawa walikuwa wanatumia jf? Fyuuuyyu
 
Aisee asikuambie mtu, chumbani kumekuwa uwanja WA vita, siku nikihitaji mzigo anakoma balaa, maana naanza mateke, nikimpa kabali hevia mwenyewe anajua kabisa hachomoi, anatoa mzigo mwenyewe
 
Aisee asikuambie mtu, chumbani kumekuwa uwanja WA vita, siku nikihitaji mzigo anakoma balaa, maana naanza mateke, nikimpa kabali hevia mwenyewe anajua kabisa hachomoi, anatoa mzigo mwenyewe
Aaahahahahah. Haki ya mama
 
Ngoja niongezee,mwanamke atavaa na kanga nyepes zilizofukizwa,wakat mwngn short night dress transparent ilofukizwa then kapendeza,mlo ushaandaliwa mapema ule ili mambo yasichelewe,akishakula,kwa muonekano tu akikuona atajua tu unawashwaso itakua msg tosha kwake,other side ukikaa nae jikalishe vibaya au jishikeshike huku unamtizama machoni hahaha hio msg sent kwake kua unataka nanihii,au jirambe midomo huku unamtizama still same tym mkazie macho kwa hisia,sometimes jikalishe pemben yake anza kumpapasa papasa huku unamtizama hahaha hapo lazma gari liwe full gear iwe tayar kwa mashindano
Samahani dada we ni mwarabu kama ndio naomba tuwasiliane?
 
Wanaume lazima tusome saikolojia za wake zetu, kiasil wameumbwa na aibu hata kama anataka kusema kwao inakuwa ngumu Hawa kama hajazoezwa hivyo na uzur wao wanaweza kuvumilia mnoo au akizidiwa yuko radhi akikande na maji ya moto kama mwanaume unajifanya hauelewi utanuniwa bila sababu zozote jua tu haujatimiza wajibu wako, wanawake wengi huwa wanaonyesha ishara na kila mtu na ishara yake so ni vema kumsoma, kwa mfano wangu kama anahamu basi siku hiyo kama uko mbali atakupigia simu hata Mara tano na Jana cha kuzungumza zaidi ya NENO nimekumis huwa najua tu hapa huyu mama anataka mtanange, ukiwa naye atajifanya mgogo unamuwasha umkune Mara umkande kiungo au atapandisha miguu yake kwenye mapaja yako mara akuvute vinyweleo vya miguuni sasa hapo mwanaume aliyekamilika bado unataka kuambiwa "eti bebi naomba unifanye" aaaaah tafadhari bwana heb wasomeni hao wapenzi wenu au wake zenu
 
Ila kuna kaukweli ndani yake. Kuna mfanya kazi mwenzangu wakiume, leo kaniambia yuko mbioni kutafta mchepuko kumuuliza kasema tangu amuoe mke wake hajawahi kumuoomba penzi ila yeye tu marazote ndo anaanza. Akasema akiuchuna nawife anaka kimya, imepita sahivi kama week 3 hajamgusa na wife kimya chakusitjabisha mke wake anaanza kumfumbia hoo najua unamtu mara ooh najua anae kupa kiburi.
Sasa wanawake wenzangu shida zote zanini tuwe tunawaanza nacc sometimes inawavutia zaidi
Kweli kabisa najisikia kudeka nikiombwa mapenzi na wife!!!?
 
Ila kuna kaukweli ndani yake. Kuna mfanya kazi mwenzangu wakiume, leo kaniambia yuko mbioni kutafta mchepuko kumuuliza kasema tangu amuoe mke wake hajawahi kumuoomba penzi ila yeye tu marazote ndo anaanza. Akasema akiuchuna nawife anaka kimya, imepita sahivi kama week 3 hajamgusa na wife kimya chakusitjabisha mke wake anaanza kumfumbia hoo najua unamtu mara ooh najua anae kupa kiburi.
Sasa wanawake wenzangu shida zote zanini tuwe tunawaanza nacc sometimes inawavutia zaidi
Nimejifunza kitu kutoka kwako. Maybe.. na wanawake.. wawe wanaomba... sio wanaume kuomba wkt wote..
Mwanaume nae kama binadam.. inafika kipind anachoka.. anatarajia mke wake ndie aombe.. sasa mke naye kama ndio hivyo... ndio kuchokana kunaanza hivyo
 
Back
Top Bottom