Wanawake Mlio Olewa Acheni Udokozi

mkada

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
1,200
903
Wanawake mlioolewa acheni hii tabia isiyo ya kistaraabu ya kudokoa hela kwenye mifuko ya suruali na mashati ya waume zenu,,,haiwezekani unadokoa mpaka elfu kumi ,,ukiulizwa unasema eti aah nimechukua chenjichenji tu mme wangu…chenji chenji elfu kumi?? sasa leo nimegundua elfu hamsini anasema aaah nilikuwa nikuambie kuwa nimechukua hela kwenye suruali yako…samahani baba watoto wangu nitakurudishia.Hii tabia sio nzuri,,mbaya zaidi ukiwa umelewa siku hiyo na umetoka kufunga mahesabu,,inaweza kuchomolewa mpaka laki moja.Inakera sana,,this is not fair kabsa.Hela zenu ninyi mnakuwa wakali kama pilipili,,,haiguswi.Badilikeni.

pickpocket.jpg
 
Zingekuwa za kwetu wote za kwenu mngekuwa wakali?ukinunua mahitaji ya ndani bado utataka urudishiwe?plz stay away from my wallet.
​hatudokoi hua tunachukua,ni za kwetu sote ebooo!!
 
Ofkoz kila mtu na hela yake,,mke wangu hajawahi kunipa hela ya dompo hata siku moja.....sasa mambo ya kuchomolewa kwenye wallet si ndo kuharibiana bajeti huko?
Kwani wewe na mkeo kila mtu ana hela zake?
 
Ukizungusha round bar sawa ila zikichukuliwa na mkeo inauma!!!
kuna jamaa mmoja ni ticha bush huko yaani nasikia hadi huwa analala na suruali kabisa maana akijisahau tu imekula kwake...wife wake ni noma hata akienda kukojoa usiku anaenda na kila kilicho chake
ila jamaa ni cha pombe balaa so mi naona wife wake yupo sawa
 
inauma sana Ennie,,,,mambo ya bar mambo ya kiume,,,kaa mbali nayo sana.
Wewe utachomolewa sana tu!!!
Yaani wife anakuna kichwa ku budget 5000 wakati mfuko wako una laki 3 unatunza ukajenge heshima bar! Nisipokuchomolea nitakulisha dagaa mpaka wasimame tumboni!!!!
 
kuna jamaa mmoja ni ticha bush huko yaani nasikia hadi huwa analala na suruali kabisa maana akijisahau tu imekula kwake...wife wake ni noma hata akienda kukojoa usiku anaenda na kila kilicho chake
ila jamaa ni cha pombe balaa so mi naona wife wake yupo sawa
Ukute huyo kila mkewe akiomba pesa anasingizia malimbikizo hayajatoka huku analewa daily,akikosea kidogo unakung'uta suruali yote uone atakavyorudi saa 9 wiki nzima!!!
 
Wewe utachomolewa sana tu!!!
Yaani wife anakuna kichwa ku budget 5000 wakati mfuko wako una laki 3 unatunza ukajenge heshima bar! Nisipokuchomolea nitakulisha dagaa mpaka wasimame tumboni!!!!
Wakati huo, we unakula nyama au..??
 
Wanawake watu wa ajabu sana. Mbona ukienda nae bar haleti hizo eti kuzungusha round? Hawajui mkikaa watatu mtakunywa bia 15 tu ambazo ni elfu 30.Kila kidume 10. Wajiulize chakula home,umeme ; maji; na huduma nyingine zote ni bei gani na mtoaji ni nani. Mume akitumia 10 inakuwa shida hadi wapige finger . Ni wezi tu kama mijizi mingine.Period
 
Ofkoz kila mtu na hela yake,,mke wangu hajawahi kunipa hela ya dompo hata siku moja.....sasa mambo ya kuchomolewa kwenye wallet si ndo kuharibiana bajeti huko?

Sasa Braza si ungemalizana tu na waifu kuliko kuleta hizi stori humu.. Au na yeye ni memba mwenzetu humu?
 
Back
Top Bottom