Wanawake, Mkijipodoa sana mnatutisha... Ebo!

kuna vile virangi vyao wanapaka mdomoni utadhani ametoka kula nyama za watu.yaani siwezi thubutu kumsogelea anibusu.halafu nyusi wazinyoa harafu wanapaka midude ya rangi tofauti ka ma** ya kuku.mwingine unakuta mashavu mekunduu yameiva ka jipu linalokalibia kupasuka sijui wenyewe wanakuwa wamepaka nini.halafu mwenyewee ndo anaona kapendezaa.tpuuuu...!!.mia

Duh!!!!!!!!!!!

9643d942c2fd04da_44.jpg

Dah!! Kuna mdada mmoja nilimuona town nyusi zake amezichonga sijui ndio mnasema kuchonga na wembe halafu kapaka wanja yaani alikuwa anafanana na yule JOKER wa kwenye movie ya BATMAN

Yaani we acha tu.. Halafu unakuta kwenye kope kapaka marangi flani makali hivi kama chokaa ya rangi na kwenye mashavu kakandamiza pia, mdomoni ndo usiseme... kwa kweli inatisha.

Ukiona mwanamke kajilemba sana ujue mashine yake mbovu ata akikamulia limao na madawa y kichina yanadunda.
wewe una akili sana.hivi kwanini?sometime unakuta inatoa halufu fulani kama la kwenye banda la nguruwe.au ni ugonjwa.unaweza kuta wenzetu wanaumwa sisi tunawalaumu.
hawa watu wa namna hii tatizo lingine hawaendi na mda.mia

Mh kazi ipo! Naona leo mpaka kieleweke. Mmetuamulia kweli. ila ndo msiishie hapa mkawaambie na wake/girlfriends zenu ujumbe huu basi kama inawakera kweli!

ndo vizuri utishike utulie na mke wako acha uhuni wewe unataka kuvutiwa ili nini?dalili za uzinzi zinakunyemelea

Kama nawe ni miongoni mwao jirekebishe,ni kweli wanaojipodoa sana wanatisha kwa mijasho na nafangasi ktk maeneo nyeti
Mh kazi ipo! Naona leo mpaka kieleweke. Mmetuamulia kweli. ila ndo msiishie hapa mkawaambie na wake/girlfriends zenu ujumbe huu basi kama inawakera kweli!

wewe una akili sana.hivi kwanini?sometime unakuta inatoa halufu fulani kama la kwenye banda la nguruwe.au ni ugonjwa.unaweza kuta wenzetu wanaumwa sisi tunawalaumu.

hawa watu wa namna hii tatizo lingine hawaendi na mda.mia
Ebwana kweli!! hlf m2 akikwita mwanamke kaku2kana 2c kubwa sana!! 100.

Jirembeni wee kwa rahaaa zenu,ila punguzeni kidogo maan wengi mpaka yale meremeto za usiku unakuta mtu kajisiriba mchana lol!!!!

Hawa unaokutana nao wanatisha sijui wa aina gani Mtambuzi.... Dah! wengine hupendeza mno, kiasi kwamba ukimkuta bila makeup utamsahau...

Si kweli AshaDii, wanaume wengi kwa taarifa hawapendi mavipodozi kwa wanawake, kiasi tu, watu wanata kitu natural sio miwanja, mirangi ya mdomo, mi powder mpaka mtu anatisha.zaidi ya hapo jitu limejichubua, wengine mwili mzima eti awe mweupe.

Uko right Mwanajamii ukiwaendekeza hawa viumbe utakuwa kichaa! Nafikiri ni muda muafaka mwanamke kufanya vitu kwa ajili yako mwenyewe (be urself), utashangaa sana ukiwa hivyo unakuwa more attractive!

Ukiwaendekeza sana hawa viumbe, nmh hawaridhiki siku zote!

Siri moja ni kwamba wanavalue sana kitu wanachokihangaikia, ukiwaplease sana they get bored easily fast! If u feel like kujipodoa, do it for urself msimamo wako is more attractive to them kuliko unatural wako! Wakigundua u do everything for them, u cease to be a challenge na watakutake for granted!

Ni mtizamo ulikuwa so much influenced by my experience!

Wewe Kaunga wewe!

orait,,,,nashukuru nimeuona mtazamo:smokin:

Kaizer nadhani umemwelewa Kaunga, si utani kuna kitu kaongea kweli.... tatizo si kwa kujipodoa na kuzidisha mavipodozi. Kaunga kama utajiweka natural wakati wenzio wote wamekandika mawanja na malipshine, halafu unajiamini na kuhakikishia watafunga tela. Tunataka mwanamke anayejiamini jinsi alivyo umbwa na mwemyezi!! Na hakuna haja kutembea uchi , unajua mambo ya kuficha lakini unaonyesha !! dress like a lady lakini show uanamke wako!!

tatizo nadhani linaanzia hapo mkuu Kiraka....kungekuwa na uelewa wa hayo, wala kusingekuwa na haya majadiliano hapa....

Ama kwa hakika, shauri yao wasipoelewa mkuu.... tunajitahidi kuwapa hint lakini wagumu kama nini sijui, yaani kazi tunayo , ila mimi huwa siendekezi huu upuuzi, no miwanja, no mishadow, mi lipshine or what..

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom