Wanawake mjifunze kutoka kwa Meghan Markle, mpelekeshe mwanaume unavyojisikia

sijui ndio fear of unknown..au hii ndio nini..????..kha!

Nyie mnaotusema hatuolewi...tunawapa na nyie muda,kama tunaweza Kubeti humu humu… tubeti na nyie ndani ya miaka mitano ijao mtakua hamjaoa...

Hakuna mwanamke anayejielewa atataka mume mwenye strong views against women,Kama una low opinion of women..huoi ng'oo utaishia kuona ndoa za wenzako tuu...anayebisha tu beti...LOL
Asante dear umewapa za mbavu
 
sijui ndio fear of unknown..au hii ndio nini..????..kha!

Nyie mnaotusema hatuolewi...tunawapa na nyie muda,kama tunaweza Kubeti humu humu… tubeti na nyie ndani ya miaka mitano ijayo mtakua hamjaoa...

Hakuna mwanamke anayejielewa atataka mume mwenye strong views against women,Kama una low opinion of women..huoi ng'oo utaishia kuona ndoa za wenzako tuu...anayebisha tu beti...LOL
,wewe ndo tahira kweli kwani kuna mwanaume anataka ndoa? mwanamme ndoa ndo inamfuata,anaamua yeye aoe au asioe,akiamua anaweza hata kuoa wake wawili au zaidi.vipi wewe umeolewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui ndio fear of unknown..au hii ndio nini..????..kha!

Nyie mnaotusema hatuolewi...tunawapa na nyie muda,kama tunaweza Kubeti humu humu… tubeti na nyie ndani ya miaka mitano ijayo mtakua hamjaoa...

Hakuna mwanamke anayejielewa atataka mume mwenye strong views against women,Kama una low opinion of women..huoi ng'oo utaishia kuona ndoa za wenzako tuu...anayebisha tu beti...LOL
Maajabu kidume anashangaa mwanamke hajaolewa hali ya kuwa yeye hata dalili ya kuoa hana.
 
Lizarazu,

Mzeeh umeongea fact sana, mimi ninacho ona kabla ya kuoa make sure mtu uliyekuwa naye mna share bonds.. lazima muendane kwa namna fulani, ukiona ana behave against with your expectations zako, huyo piga chini, atakusumbua sana ndani ya ndoa.. point yangu nikwamba, bonds zenu ziendane..

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wewe umejuaje kama Meghan ndio anayempelekesha Harry? Yawezekana Harry hakuwa anafurahishwa na maisha ya kuwa a senior royal. Why perpetuate the concept that everything bad and negative in a man's life is brought on by a woman? Tafakari na kama mwanamke jitahidi kufuta stereotypes zilizojikita kwenye jamii yetu na zinazotuumiza sisi wanawake
 
Mzeeh umeongea fact sana, mimi ninacho ona kabla ya kuoa make sure mtu uliyekuwa naye mna share bonds.. lazima muendane kwa namna fulani, ukiona ana behave against with your expectations zako, huyo piga chini, atakusumbua sana ndani ya ndoa.. point yangu nikwamba, bonds zenu ziendane..

Sent from my iPhone using JamiiForums
Swadakta mazee, umeongea maneno machache lakini ya msingi sana.

Bond/compatibility ni kitu cha kuzingatia mno kabla ya kuingia mkataba.

Na pia ogopa sana kuoa hao wanaojiona kuwa ni ma alpha females achana nao kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sijui ndio fear of unknown..au hii ndio nini..????..kha!

Nyie mnaotusema hatuolewi...tunawapa na nyie muda,kama tunaweza Kubeti humu humu… tubeti na nyie ndani ya miaka mitano ijayo mtakua hamjaoa...

Hakuna mwanamke anayejielewa atataka mume mwenye strong views against women,Kama una low opinion of women..huoi ng'oo utaishia kuona ndoa za wenzako tuu...anayebisha tu beti...LOL
Hakuna mtu ambaye hana aina ya mtu anaweza kumuoa/kuolewa nae.

Kila mtu ana group lake la watu anao endana nao, sema tu utofauti unakuja je, hilo group lako uiwingi/uchache wa wanaume/wanaume upo kiasi gani.

Mfano kama nyie wanawake ambao mko too masculine group lenu lina watu wachache sana na hivyo kupelekea hata chansi yako ya kuolewa kuwa nyembamba kama sindano ya kudalizia nguo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lizarazu,

Hata hujielewi lol

Hapo hapo unasema kila mtu ana mtu wake then unasema kuolewa ni chance ndogo... sorry if I hit you hard lol unachechemea 😂👍😂👍👍👍🙈🙈🙈🙈🙈😊😊😊😏😏😏😏😏😏
 
Ok ok, ila sehemu za siri zitaumia vipi wakati hakuna tofauti maishani ya mtu kufanya tendo la ndoa mara 1000 na mtu mmoja au watu 10 kila mmoja unafanye nae mara 100?
hiv unajua kama mwanamke akiwa anabadili badili wanaume kitendea kazi chake kinakuwaje? ah lakini mada hii haiusiani na hizi habari tuziache kama zilivyo mkuu, kifupi mleta mada ni jeuri tu huyu atakutana na kiduku atakuwa anachezea vitasa na atatulia, wapo wanawake wana vipato na elimu ya kutosha na akiwa home ni mke, sasa huyu anataka akiwa home awe kama msela mavi ataishia kupigwa ama kubadili wanaume mpaka ampate huyo zombi atakayekubali masharti yake.
 
Kilo 5 za mtoto na kichwa kinapitamo humo na kitu kinarudi ije. Nanihii gani kubwa kuzidi mtoto?
 
Back
Top Bottom